Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi

    Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi

    Mar 01, 2020 07:09

    Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.

  • Ugiriki yazuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa NATO kwa Uturuki

    Ugiriki yazuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa NATO kwa Uturuki

    Feb 29, 2020 23:09

    Serikali ya Ugiriki imetumia haki yake ya turufu kuzuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kwa Uturuki.

  • Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia

    Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia

    Feb 29, 2020 05:49

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kuhusiana na yanayojiri katika eneo la Idlib nchini Syria na kueleleza wasiwasi wa Tehran kuhusu uwezekano wa kushadidi zaidi mivutano na machafuko katika eneo hilo. Taarifa hiyo pia imelaani hatua zinazofanywa na pande nyingine kwa ajili ya kukwamisha mwenendo wa mazungumzo ya Astana.

  • Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria

    Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria

    Feb 28, 2020 23:08

    Wajumbe wa kisiasa wa Russia na Uturuki wamekutana mjini Ankara kujadiliana masuala ya kaskazini mwa Syria hasa ya mkoa wa Idlib.

  • Askari wengi wa jeshi la Uturuki waangamizwa kaskazini mwa Syria, Ankara yasema italipiza kisasi

    Askari wengi wa jeshi la Uturuki waangamizwa kaskazini mwa Syria, Ankara yasema italipiza kisasi

    Feb 28, 2020 04:24

    Vyombo vya habari katika eneo vimeripoti kuwa askari wasiopungua 33 wa jeshi la Uturuki wameangamizwa katika mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib

    Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib

    Feb 27, 2020 21:47

    Taasisi inayoitwa 'Watetezi wa Haki za Binaadamu Syria' imetangaza kuwa jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Majibu ya hapana ya Russia kwa ombi la Marekani la kuzungumza na magaidi wa Syria

    Majibu ya hapana ya Russia kwa ombi la Marekani la kuzungumza na magaidi wa Syria

    Feb 25, 2020 07:06

    Ushindi wa mfululizo wa jeshi la Syria na waitifaki wake katika mkoa wa Idlib umepokewa kwa hisia kali, si na Uturuki pekee na uvamizi wake wa kijeshi huko Syria, lakini pia Marekani nayo ambayo inaongoza muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa eti kupambana na ugaidi nchini humo, imeitaka Russia ifanye mazungumzo na magaidi hao.

  • Madai ya Erdogan kwamba Uturuki inafanya juhudi za kurejesha utulivu kaskazini mwa Syria

    Madai ya Erdogan kwamba Uturuki inafanya juhudi za kurejesha utulivu kaskazini mwa Syria

    Feb 25, 2020 04:30

    Rais wa Uturuki amedai kwamba nia ya nchi yake ni kurejesha utulivu na uthabiti katika mkoa wa Idlib nchini Syria.

  • Madai mapya ya Uturuki ya kupokea mfumo wa makombora ya Patriot kutoka Marekani

    Madai mapya ya Uturuki ya kupokea mfumo wa makombora ya Patriot kutoka Marekani

    Feb 22, 2020 21:44

    Waziri wa Ulinzi wa Uturuki amedai kuwa karubuni hivi Marekani itaikabidhi Uturuki ngao ya makombora ya Patriot licha ya Marekani kukwamisha suala hilo.

  • Russia yapinga madai ya Rais wa Uturuki kuhusiana na vita vya Libya

    Russia yapinga madai ya Rais wa Uturuki kuhusiana na vita vya Libya

    Feb 17, 2020 22:09

    Serikali ya Russia imetoa radiamali dhidi ya matamshi ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki aliyesema kuwa, Russia inaingilia vita nchini Libya na kueleza kuwa, matamshi hayo hayana ukweli wowote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS