Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Tuhuma mpya za Uturuki dhidi ya Imarati

    Tuhuma mpya za Uturuki dhidi ya Imarati

    Feb 17, 2020 22:08

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki Suleyman Soylu ameituhumu serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati au UAE) kuwa inahusika katika kuchochea fitina ndani ya nchi yake.

  • Viongozi wa Uturuki waendelea kutoa kauli za vitisho dhidi ya Syria kuhusiana na Idlib

    Viongozi wa Uturuki waendelea kutoa kauli za vitisho dhidi ya Syria kuhusiana na Idlib

    Feb 15, 2020 10:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametoa indhari ya kitakachotokea endapo mazungumzo ya nchi hiyo na Russia kuhusu kadhia ya Idlib hayatokuwa na tija.

  • Wizara ya Ulinzi ya Russia yatoa jibu kwa chokochoko za Uturuki ndani ya ardhi ya Syria

    Wizara ya Ulinzi ya Russia yatoa jibu kwa chokochoko za Uturuki ndani ya ardhi ya Syria

    Feb 13, 2020 03:54

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, kutoheshimu Uturuki ahadi zake kutotekeleza majukumu yake ndiko kulikosababisha kuzuka mgogoro huko Idlib nchini Syria.

  • Uturuki yaendelea kujizatiti kijeshi kinyume cha sheria kaskazini mwa Syria

    Uturuki yaendelea kujizatiti kijeshi kinyume cha sheria kaskazini mwa Syria

    Feb 09, 2020 23:38

    Jeshi la Uturuki limeendelea kujizatiti kaskazini mwa Syria baada ya kuingia msafara mpya wa kijeshi wa nchi hiyo katika mkoa wa Idlib.

  • Mapigano yashtadi kati ya majeshi ya Uturuki na Syria, askari kadhaa wa pande mbili wauawa

    Mapigano yashtadi kati ya majeshi ya Uturuki na Syria, askari kadhaa wa pande mbili wauawa

    Feb 04, 2020 04:10

    Askari kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano kati ya majeshi ya Syria na Uturuki yaliyotokea kwenye eneo la kaskazini ya ardhi ya Syria.

  • Russia yatiwa wasi wasi na mashambulizi ya magaidi katika mkoa wa Idlib, Syria

    Russia yatiwa wasi wasi na mashambulizi ya magaidi katika mkoa wa Idlib, Syria

    Feb 04, 2020 01:15

    Serikali ya Russia imetoa radiamali yake kufuatia baadhi ya ripoti zinazohusu kushambuliwa askari wa Uturuki katika operesheni zinazofanywa na askari wa Syria.

  • Tisho la Erdoğan kuishambulia kijeshi Syria

    Tisho la Erdoğan kuishambulia kijeshi Syria

    Feb 02, 2020 22:59

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kuishambulia kijeshi Syria.

  • Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Jan 29, 2020 11:35

    Ripoti iliyotolewa na gazeti la Independent la Uingereza imefichua kuwa, mapatano tete ya kusitisha vita yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya madola makubwa mjini Berlin huko Ujerumani yanaelekea kuporomoka kutokana na mashambulizi ya anga yanayoshuhudiwa sasa nchini Libya na vitisho vinavyoendelea kutolewa na pande hasimu.

  • Mtetemeko mkubwa wa ardhi waua 19 Uturuki, Iran tayari kutuma misaada ya dharura

    Mtetemeko mkubwa wa ardhi waua 19 Uturuki, Iran tayari kutuma misaada ya dharura

    Jan 25, 2020 01:19

    Mtetemeko mkubwa wa ardhi umetikisa mkoa wa Elazig mashariki mwa Uturuki na kuua watu wasiopungua 19 na kupelekea wengine wengi kujeruhiwa na idadi kubwa ya nyumba kubomoka.

  • Ankara: Uturuki haitatuma askari wala silaha nchini Libya

    Ankara: Uturuki haitatuma askari wala silaha nchini Libya

    Jan 24, 2020 06:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kwamba kwa mujibu wa mapatano yaliyofikiwa katika mkutano wa Berlin nchini Ujerumani, Uturuki haitatuma tena askari wala silaha huko Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS