Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Erdogan: Mauaji ya Khashoggi yalipangwa, wahusika washtakiwe Istanbul

    Erdogan: Mauaji ya Khashoggi yalipangwa, wahusika washtakiwe Istanbul

    Oct 23, 2018 10:59

    Rais Recep Tayyib Erdogan wa Uturuki amesema watu wote waliohusika na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Saudi Arabia wanapashwa kubebeshwa dhima na kesi zao zinapaswa kusikilizwa mjini Istanbul.

  • Masaa machache yajayo, Rais wa Uturuki kutoa hotuba ya kufichua kila kitu kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Masaa machache yajayo, Rais wa Uturuki kutoa hotuba ya kufichua kila kitu kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Oct 23, 2018 03:25

    Rais Recep Tayyib Erdogan wa Uturuki leo anatarajiwa kutoa hotuba ya kufichua kile alichokiita ni ukweli kamili kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.

  • Mshauri wa Rais wa Uturuki apinga riwaya ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Mshauri wa Rais wa Uturuki apinga riwaya ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Oct 22, 2018 12:53

    Mshauri wa Rais wa Uturuki amepinga madai yaliyotolewa na Saudi Arabia kuhusu mauaji ya mwanadishi na mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo Jamal Khashoggi huku nchi za Magharibi zikiendelea kutilia shaka taarifa ya Riyadh kuhusu mauaji hayo.

  • Uturuki yasema haikubaliani na 'funika-funika' mambo ya Saudia kuhusu Khashoggi

    Uturuki yasema haikubaliani na 'funika-funika' mambo ya Saudia kuhusu Khashoggi

    Oct 20, 2018 12:58

    Msemaji wa chama tawala cha Justice and Development Party (AK Party) cha Rais Recep Tayyid Erdogan wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haikubaliani na juhudi za kufunika funika na kuficha ukweli kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul na kwamba itatumia mbinu zake zote kuhakikisha kuwa ukweli wote unafichuliwa kuhusu mauaji hayo.

  • Dunia yatoa radiamali baada ya Saudia kukiri kumuua Jamal Khashoggi

    Dunia yatoa radiamali baada ya Saudia kukiri kumuua Jamal Khashoggi

    Oct 20, 2018 04:34

    Saa chache baada ya Saudi Arabia kukiri kuwa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa Aal-Saud ameuawa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul nchini Uturuki, taasisi na viongozi mbalimbali wa kimataifa wametoa taarifa za kulaani mauaji hayo ya kikatili.

  • Iran, Uturuki, Russia na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke sarafu ya dola ya Marekani

    Iran, Uturuki, Russia na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke sarafu ya dola ya Marekani

    Oct 19, 2018 21:39

    Kikao cha "Changamoto na Fursa za Biashara kwa Fedha za Taifa" kilifanyika jana Ijumaa mjini Ankara Uturuki na kushirikisha maafisa na wataalamu kutoka nchi za Iran, Uturuki, Russia na India.

  • Anayetuhumiwa kumuua Khashoggi aaga dunia katika ajali ya kutatanisha Saudia

    Anayetuhumiwa kumuua Khashoggi aaga dunia katika ajali ya kutatanisha Saudia

    Oct 18, 2018 10:00

    Mmoja wa watu 15 wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud, ameripotiwa kufariki dunia katika 'ajali' ya barabarani ya kutatanisha nchini Saudi Arabia.

  • Balozi mdogo wa Saudia nchini Uturuki atoroka usiku usiku, Bin Salman apata pigo jingine

    Balozi mdogo wa Saudia nchini Uturuki atoroka usiku usiku, Bin Salman apata pigo jingine

    Oct 17, 2018 08:54

    Balozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul, Mohammed al-Otaibi ametoroka usiku kutoka Uturuki na kuelekea Riyadh.

  • Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike

    Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Oct 15, 2018 00:17

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wametoa taarifa ya pamoja wakiitaka Saudi Arabia na Uturuki zifanye "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal Saud.

  • Uturuki: Tuna mkanda unaothibitisha Saudia imemuua Khashoggi

    Uturuki: Tuna mkanda unaothibitisha Saudia imemuua Khashoggi

    Oct 12, 2018 13:42

    Afisa mmoja wa masuala ya usalama wa Uturuki amesema kuwa, kuna mkanda wa sauti na video unaothibitisha kuwa mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi ameuawa ndani ya ubalozi wa nchi hiyo nchini Uturuki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS