Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Iran na Uturuki zasisitiza kushirikiana katika kupambana na ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya

    Iran na Uturuki zasisitiza kushirikiana katika kupambana na ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya

    Oct 12, 2018 00:10

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimesisitiza juu ya azma yao ya kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya.

  • Makumi ya wajahiri wahofiwa kufa maji pwani ya Uturuki

    Makumi ya wajahiri wahofiwa kufa maji pwani ya Uturuki

    Oct 10, 2018 10:49

    Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Uturuki ya Aegean.

  • Larijani: Matatizo ya dunia ni matokeo ya hatua za upande mmoja za Marekani

    Larijani: Matatizo ya dunia ni matokeo ya hatua za upande mmoja za Marekani

    Oct 09, 2018 13:02

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo ya dunia ni matokeo ya hatua za upande mmoja za Marekani na amezitaka nchi zote ziungane kukabiliana na hatua za aina hiyo za uvukaji mipaka ya sheria na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja.

  • AI: Jamii ya kimataifa ifuatilie mauaji ya mwandishi habari Msaudi

    AI: Jamii ya kimataifa ifuatilie mauaji ya mwandishi habari Msaudi

    Oct 08, 2018 11:00

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa isinyamazie kimya ukandamizaji unaofaywa na serikali ya Saudi Arabia dhidi ya wapinzani wa nchi hiyo na iishinikize serikali ya Riyadh kwa ajili ya kuweka wazi faili la mwandishi habari wa nchi hiyo aliyetoweka kwa njia ya kutatanisha.

  • Spika wa Bunge la Iran awasili Uturuki kushiriki mkutano wa Eurasia

    Spika wa Bunge la Iran awasili Uturuki kushiriki mkutano wa Eurasia

    Oct 08, 2018 10:39

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewasili katika mji wa Antalya nchini Uturuki kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa 3 wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Eurasia.

  • UN: Jamii ya Kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya Jamal Khashoggi

    UN: Jamii ya Kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya Jamal Khashoggi

    Oct 08, 2018 04:14

    David Kaye, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa uhuru wa maoni na kujieleza amesema kuhusiana na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia aliyeuliwa katika ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki, kwamba jamii ya kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya mwandishi huyo wa habari.

  • Polisi ya Uturuki: Mwandishi habari, Khashoggi ameuawa katika ubalozi wa Saudia

    Polisi ya Uturuki: Mwandishi habari, Khashoggi ameuawa katika ubalozi wa Saudia

    Oct 06, 2018 23:41

    Duru za kuaminika nchini Uturuki zimesema huenda mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud Jamal Khashoggi aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuingia katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul Jumanne iliyopita ameuawa.

  • HRW: Saudia iweke na uwazi kuhusu mwandishi habari Jamal Khashoggi

    HRW: Saudia iweke na uwazi kuhusu mwandishi habari Jamal Khashoggi

    Oct 06, 2018 03:46

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka Saudi Arabia iwe na sera za wazi kuhusu mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo Jamal Khashoggi aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuingia katika ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki.

  • Waturuki waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru Jamal Khashoggi

    Waturuki waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru Jamal Khashoggi

    Oct 06, 2018 01:22

    Raia wa Uturuki wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru mwandishi wa habari wa Saudia ambaye ametoweka kwa siku kadhaa sasa.

  • Uturuki yamuita balozi wa Saudi Arabia baada ya mwandishi wa habari kutoweka

    Uturuki yamuita balozi wa Saudi Arabia baada ya mwandishi wa habari kutoweka

    Oct 04, 2018 10:53

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemuita balozi wa Saudi Arabia mjini Ankara ili kumsaili kuhusiana na kutoweka mwandishi wa habari ambaye amekuwa akiukosoa utawala wa Riyadh; huku mgogoro baina ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS