-
Uturuki yamuita balozi wa Saudi Arabia baada ya mwandishi wa habari kutoweka
Oct 04, 2018 10:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemuita balozi wa Saudi Arabia mjini Ankara ili kumsaili kuhusiana na kutoweka mwandishi wa habari ambaye amekuwa akiukosoa utawala wa Riyadh; huku mgogoro baina ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota.
-
Kaka yake na Fethullah Gülen ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela Uturuki
Oct 02, 2018 11:45Mahakama ya Uturuki imemhukumu kifungo cha miaka 10 jela kaka yake Fethullah Gülen, anayetuhumiwa na serikali ya Ankara kuwa alipanga mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli tarehe 15 Julai 2016 nchini humo.
-
Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo
Sep 27, 2018 03:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haitojali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na itaendeleza ushirikiano wake na Tehran kama kawaida.
-
Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump
Sep 26, 2018 10:49Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema Uturuki itaendelea kununua gesi kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya vikwazo na vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Uturuki yawatia mbaroni wanajeshi 85 wa 'harakati ya Gulen'
Sep 21, 2018 23:33Vyombo vya usalama nchini Uturuki vimewatia nguvuni wanajeshi 85 waliokuwa kazini kwa tuhuma za kuwa na ushirikiano na harakati ya Fethullah Gülen.
-
Erdoğan: Uturuki itayashinda matatizo ya kiuchumi
Sep 20, 2018 10:34Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa nchi yake inaweza kuyashinda matatizo ya kiuchumi yanayoikabili.
-
Rais Tayyip Erdoğan: Marekani inajaribu kuua kigaidi uchumi wa Uturuki
Sep 17, 2018 03:02Kwa mara nyingine Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesisitiza kwamba, Marekani iko nyuma ya vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa dhidi ya nchi yake.
-
Sisitizo la Ibrahim Jaafari la kuondoka wanajeshi wa Uturuki huko Iraq
Sep 12, 2018 03:15Ibrahim Jaafari Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesisitiza kuondoka haraka iwezekanavyo wanajeshi wa Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Mkutano wa Troika ya Syria mjini Tehran, kigezo bora cha kuigwa cha uishirikiano wa kikanda
Sep 07, 2018 02:50Leo Ijumaa Tehran ni mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi tatu muhimu katika mchakato wa kurejesha amani nchini Syria, yaani Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki.
-
Uturuki: Dola ya Marekani imepoteza hadhi yake katika mfumo wa kifedha duniani
Aug 30, 2018 11:49Waziri wa Fedha wa Uturuki, Berat Albayrak amesema kuwa, safaru ya Dola ya Marekani imepoteza itibari yake katika mfumo wa kifedha, kibenki na mabadilishano ya kibiashara duniani na kwamba haiaminiwi tena.