-
Kubadilika msimamo wa Uturuki kuhusu uanachama wa Sweden katika muungano wa Nato
Jul 13, 2023 02:16Baada ya mivutano mikubwa ya kisiasa kuhusu suala la kujiunga Sweden na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO), na upinzani wa Uturuki dhiidi ya suala hilo, hatimaye Rais Reccep Tayyep Erdogan amekubali Sweden kuwa mwanachama ndani ya NATO.
-
"Umoja ndiyo njia bora ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu"
Jul 09, 2023 10:53Rais wa Uturuki amesema kuna haja kwa umma wa Kiislamu kuungana na kuwa na mshikamano, ili uweze kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vilivyoshtadi katika nchi za Magharibi.
-
Kutokana na hali mbaya ya uchumi, Uturuki yawatia mbaroni na kuwahamisha mamia ya wahamaji
Jul 08, 2023 03:24Vikosi vya usalama nchini Uturuki vimewakamata mamia ya wahamiaji na kuwarejesha nchi walikotoka.
-
Uturuki na Misri zateua mabalozi na kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia
Jul 04, 2023 10:18Uturuki na Misri zimeteua mabalozi wa pande mbili ili kurejesha rasmi uhusiano wao katika ngazi ya juu ya kidiplomasia.
-
Zakharova: Russia itatumia silaha za nyuklia ikilazimu
Jun 16, 2023 07:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema nchi hiyo inaweza tu kutumia silaha zake za nyuklia katika mazingira maalum ya kujihami.
-
Kuinusuru Uturuki na kuendelea ukoloni wa Umoja wa Ulaya
Jun 08, 2023 06:52Bunge la Ulaya limesema Rais Recep Tayyeb Erdogan wa Uturuki kupata fursa nyingine ya kuiongoza nchi hiyo ya Kiislamu kutakwamisha juhudi za kujiunga nchi hiyo na Umoja wa Ulaya.
-
Syria: Rais Assad hatakutana na Erdogan mpaka Uturuki ikomeshe uvamizi na ukaliaji wa ardhi
May 22, 2023 09:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad amesema, uhusiano wa nchi hiyo na Uturuki hautarejea katika hali ya kawaida isipokuwa tu kama nchi hiyo itaondoka katika ardhi ya Syria.
-
Upembuzi wa sababu za kuingia katika duru ya pili uchaguzi wa rais wa Uturuki
May 18, 2023 01:17Kama ilivyokuwa imetabiriwa na duru huru za kisiasa, uchaguzi wa rais wa Uturuki umeingia kwenye duru ya pili na chama tawala cha Uadilifu na Maendeleo (AKP) na muungano wake wa Jamhuri zimeshindwa kupata wingi wa kura zilizohitaji ili kuibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Sharti la Oğan kumuunga mkono mshindani wa Erdoğan katika duru ya pili ya uchaguzi wa Uturuki
May 16, 2023 06:41Sinan Oğan, mmoja wa wagombea watatu wa uchaguzi wa rais wa Uturuki ametangaza kuwa atamuunga mkono Kemal Kılıçdaroğlu, mgombea wa Muungano wa Taifa, ikiwa tu ataahidi kukiondoa chama cha Kidemokrasia cha Wakurdi katika mfumo wa kisiasa wa Uturuki.
-
Waturuki wapiga kura katika uchaguzi muhimu zaidi tangu wa mwanzo wa vyama vingi 1950
May 14, 2023 11:44Upigaji kura katika uchaguzi wa 13 wa urais na wa 28 wa wabunge nchini Uturuki ulianza leo saa mbili asubuhi nchini kote na ulitazamiwa kuendelea hadi saa 11 jioni kwa saa za nchi hiyo.