Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Sharti la Oğan kumuunga mkono mshindani wa Erdoğan katika duru ya pili ya uchaguzi wa Uturuki

    Sharti la Oğan kumuunga mkono mshindani wa Erdoğan katika duru ya pili ya uchaguzi wa Uturuki

    May 16, 2023 03:11

    Sinan Oğan, mmoja wa wagombea watatu wa uchaguzi wa rais wa Uturuki ametangaza kuwa atamuunga mkono Kemal Kılıçdaroğlu, mgombea wa Muungano wa Taifa, ikiwa tu ataahidi kukiondoa chama cha Kidemokrasia cha Wakurdi katika mfumo wa kisiasa wa Uturuki.

  • Waturuki wapiga kura katika uchaguzi muhimu zaidi tangu wa mwanzo wa vyama vingi 1950

    Waturuki wapiga kura katika uchaguzi muhimu zaidi tangu wa mwanzo wa vyama vingi 1950

    May 14, 2023 08:14

    Upigaji kura katika uchaguzi wa 13 wa urais na wa 28 wa wabunge nchini Uturuki ulianza leo saa mbili asubuhi nchini kote na ulitazamiwa kuendelea hadi saa 11 jioni kwa saa za nchi hiyo.

  • Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake

    Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake

    May 11, 2023 07:54

    Kikao cha kwanza cha pande nne cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Syria, Uturuki na Iran kuhusiana na Syria kilifanyika Jumatano ya jana huko Moscow mji mkuu wa Rusia.

  • Uchaguzi Mkuu wa Mei 14 nchini Uturuki na ahadi za wanasiasa

    Uchaguzi Mkuu wa Mei 14 nchini Uturuki na ahadi za wanasiasa

    May 05, 2023 22:05

    Ahadi za kila namna za wanasiasa zimepamba moto hivi sasa katika wakati huu wa kukaribia chaguzi mbili muhimu mno na za wakati mmoja za rais na bunge nchini Uturuki.

  • Waziri Mkuu wa Ugiriki: Uchaguzi wa Uturuki utaainisha uhusiano wa nchi mbili

    Waziri Mkuu wa Ugiriki: Uchaguzi wa Uturuki utaainisha uhusiano wa nchi mbili

    May 01, 2023 21:54

    Waziri Mkuu wa Ugiriki amesisitiza kuwa uchaguzi wa Rais wa Uturuki uliopangwa kufanyika Mei 14 mwaka huu utaainisha mustakbali wa uhusiano baina ya Athens na Ankara.

  • Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria

    Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria

    May 01, 2023 03:25

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alitangaza jana Jumapili jioni kwambau kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh), ameuawa katika operesheni ya kijasusi ya Uturuki nchini Syria.

  • Rais wa Uturuki akasirishwa na balozi wa Marekani, amtaka 'aijue mipaka yake'

    Rais wa Uturuki akasirishwa na balozi wa Marekani, amtaka 'aijue mipaka yake'

    Apr 03, 2023 22:41

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, kuanzia sasa "milango yake imefungwa" kwa balozi wa Marekani mjini Ankara, Jeffry Flake na akakemea mkutano wa hivi karibuni aliofanya mwanadiplomasia huyo na mpinzani wake katika uchaguzi ujao wa rais.

  • Uturuki yawasilisha malamiko rasmi kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Denmark

    Uturuki yawasilisha malamiko rasmi kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Denmark

    Apr 01, 2023 23:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemwita balozi wa Denmark nchini humo ili kutoa malalamiko yake ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Mgombea urais wa Uturuki: Nikishinda uchaguzi tutajitoa katika shirika la kijeshi la NATO

    Mgombea urais wa Uturuki: Nikishinda uchaguzi tutajitoa katika shirika la kijeshi la NATO

    Mar 24, 2023 06:30

    Dogu Princek, kiongozi wa Chama cha Kizalendo (Patriotic Party) na mgombea urais wa Uturuki kwa tiketi ya chama hicho ametoa ahadi kwamba, ikiwa atashinda uchaguzi huo, nchi hiyo itajitoa katika shirika la kijeshi la nchi za Magharibi, NATO.

  • Matemeko mawili mapya ya ardhi yatikisa Uturuki na Syria, yaua watu kadhaa na kujeruhi mamia

    Matemeko mawili mapya ya ardhi yatikisa Uturuki na Syria, yaua watu kadhaa na kujeruhi mamia

    Feb 21, 2023 10:25

    Matetemeko mawili mapya ya ardhi yenye ukubwa wa 6.4 na 5.8 katika kipimo cha Rishta yamekumba jimbo la Hatay kusini ya Uturuki na kaskazini mwa Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS