-
Kughafilika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa katika utekelezaji wa majukumu yake
Feb 29, 2016 07:20Kikao cha kila mwaka cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kimeanza leo Jumatatu mjini Geneva, Uswisi na hafla ya ufunguzi imehudhuriwa na Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki moon.
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani
Feb 25, 2016 03:29Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International (AI) limetahadharisha juu ya uwezekano wa kutoweka matunda yote ya miaka 70 iliyopita katika uwanja wa haki za binadamu duniani.
-
Kuendelea ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Misri
Feb 16, 2016 04:16Katika hali ambayo siku ya tarehe 11 ya mwezi huu wa Februari wananchi wa Misri waliadhimisha mwaka wa tano tangu aliyekuwa rais wa nchi hiyo dikteta Hosni Mubarak alipoondolewa madarakani, serikali ya Rais wa sasa Abdel Fattah el Sisi ingali inaendelea kukiuka haki za binadamu na hasa hasa dhidi ya wafuasi wa Ikhwanul Muslimin.
-
Amnesty International: Magharibi ndiyo inayobeba dhima ya machafuko duniani
Feb 15, 2016 21:39Shirika la Msamaha Duniani limesisitiza kuwa, uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu unaotokea katika kona mbalimbali za dunia unafanyika kwa msaada wa silaha za nchi za Magharibi na kwamba Magharibi ndiyo inayopaswa kubeba ya dhima ya machafuko yote hayo.
-
Bahrain inakiuka haki za watoto wadogo
Feb 15, 2016 21:36Utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukiuka haki za binadamu hususan za watoto wadogo wa nchi hiyo.
-
Wanawake na watoto, wahanga wakuu wa migogoro ya Afrika
Feb 13, 2016 11:52Wanawake na watoto wametajwa kuwa ndiyo wahanga wakuu wa migogoro inayozikumba nchi kadhaa za Afrika.
-
Umoja wa Mataifa: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni mkiukaji wa haki za binadamu
Feb 11, 2016 22:32Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni mkiukaji wa haki za binadamu.