-
Jibu la Iran kuhusu kupasishwa azimio la Canada dhidi yake
Nov 17, 2023 09:14Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepitisha azimio jipya kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran katika hali ambayo idadi ya walioliunga mkono ilikuwa ndogo kuliko ya wale waliolipigia au kujizuia kupiga kura.
-
Mahakama Kuu Uingereza kutoa uamuzi kuhusu uhalali wa kupelekwa Rwanda waomba hifadhi
Nov 10, 2023 09:45Mahakama Kuu ya Uingereza wiki ijayo itatoa uamuzi iwapo mpango wa serikali ya nchi hiyo wa kuwapeleka nchini Rwanda, wakimbizi na waomba hifadhi walioko nchini humo ni halali au la.
-
Iran yakosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Kibinadamu la UN
Sep 02, 2023 11:30Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amekosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo.
-
Amnesty yalaani uamuzi wa Israel kwa kumuadhibu mtoto wa Kipalestina kwa kitendo ambacho hakufanya
Aug 30, 2023 02:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani uamuzi wa mahakama ya Israel wa kubomoa nyumba ya familia ya mvulana Mpalestina mwenye umri wa miaka 13 ambaye amekuwa kizuizini kwa muda wa miezi sita iliyopita kwa "mashtaka yasiyo ya haki" kwa kitendo ambacho hakukifanya.
-
Human Rights Watch yakosoa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain
Jul 09, 2023 04:36Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekosoa ubaguzi unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo na kutoa mwito wa kuhitimisha ubaguzi huo.
-
Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu
Mar 29, 2023 10:20Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali misimamo ya undumakuwili na ya kinafiki ya nchi za Magharibi katika kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi zinazopinga sera za nchi za Magharibi na kulegeza msimamo laini wa nchi hizo kwa baadhi ya washirika wao ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu
Mar 12, 2023 07:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani undumakuwili wa Ufaransa, ambayo kwa upande mmoja inajinadi kuwa mbeba bendera ya kutetea haki za binadamu, lakini kwa upande wa mwngine inakanyaga haki hizo kwa vitendo.
-
Kana'ani: Marekani iliunga mkono mfumo wa 'apartheid' Afrika Kusini
Mar 05, 2023 11:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani haistahiki kujipiga kifua na kudai kuwa kinara wa kutetea na kulinda haki za binadamu duniani kutokana na rekodi yake nyeusi.
-
Haki za binadamu ni mhanga wa siasa za nchi za Magharibi
Feb 23, 2023 07:09Mkuu wa Masuala ya Kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Idara ya Masuala ya Haki za Binadamu ya Iran, amesema siasa zinadhuru pakubwa suala zima la haki za binadamu na kuongeza kuwa vyombo vya habari vinapaswa kuheshimu misingi ya tasnia ya uandishi habari na kubainisha ukweli wa mambo mbali kabisa na mifungamano ya kisiasa.
-
UN yaikosoa Tunisia kwa kuwawekea mbinyo wakosoaji na wapinzani
Feb 17, 2023 02:50Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa umoja huo unatiwa wasiwasi na kushtadi wimbi la kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa kisiasa na wapinzani wa serikali ya Rais Kais Saeid wa Tunisia.