-
Kusambaratishwa njama ya kigadi dhidi ya serikali ya Venezuela
May 05, 2020 04:48Katika mwendelezo wa njama za Marekani na washirika wake za kutaka kuiangusha serikali ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela, maafisa wa nchi hiyo wametangaza kuwa, wamefanikiwa kusambaratishwa operesheni moja ya kigaidi sambamba na kuangamizwa magaidi ambao walikuwa wanakusudia kupenya ndani ya nchi hiyo kupitia baharini.
-
Venezuela yawakamata mamluki wa Marekani waliotaka kufanya mapinduzi
May 05, 2020 03:27Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amesema vyombo vya usalama vya nchi hiyo vimewatia mbaroni 'magaidi' 13 wakiwemo mamluki wawili wa Kimarekani wanaohusishwa na jaribio lililotibuliwa la kujipenyeza nchini humo na kufanya mapinduzi.
-
NRC yataka kuondolewa vikwazo Iran, Syria na Venezuela
Apr 29, 2020 06:40Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC) limetoa mwito wa kuondolewa vikwazo nchi kadhaa zikiwemo Jamhuri ya Kiislamu a Iran, Syria na Venezuela wakati huu wa mapambano dhidi ya janga la kimataifa la Corona.
-
Mgogoro wa Venezuela: Serikali na wapinzani waanza mazungumzo ya siri
Apr 22, 2020 22:14Serikali ya Venezuela na wapinzani wa nchi hiyo wameanza duru mpya ya mazungumzo ya siri yenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Rouhani: Ubeberu wa Marekani ni kirusi hatari kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona
Apr 13, 2020 22:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Venezuela na kusema ubeberu wa Marekani ni hatari zaidi kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona. Rais wa Iran ameongeza kuwa kujitakia makuu na kutumia mabavu watawala wa Marekani ni mambo ambayo yanayashinikiza mataifa yanayojitegemea na yanayotaka kuwa na uhuru kamili.
-
Maduro aeleza matarajio yake ya kuboreka hali ya soko la mafuta duniani
Apr 12, 2020 03:19Rais wa Venezuela amesema kuwa anataraji kuwa makubaliano yaliyofikiwa na nchi wanachama wa Opec Plus yataandaa njia ya kuboreka bei ya mafuta duniani.
-
Radiamali ya Venezuela baada ya Marekani 'kumshtaki' Rais Maduro
Mar 27, 2020 03:31Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali na kutaja kama kichekesho hatua ya Marekani ya eti kumfungulia mashitaka ya ulanguzi wa mihadarati, ambapo amemtaja rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuwa mtu mbaguzi.
-
Venezuela: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya ubinadamu
Mar 08, 2020 04:35Makamu wa Rais wa Venezuela amelaani vikwazo vya upande mmoja vya serikali ya Marekani dhidi ya nchi yake na kuvitaja kuwa dhidi ya ubinadamu.
-
Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela
Feb 26, 2020 09:36Serikali ya Marekani ikiwa na lengo la kuendeleza mashinikizo dhidi ya Venezuela imeazimia kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Rais Nicolás Maduro: Hatuogopi hata kidogo kukabiliana kijeshi na Marekani
Feb 18, 2020 12:37Rais Nicolás Maduro wa Venezuela sambamba na kufichua njama chafu za Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kuishambulia kijeshi nchi hiyo ya Amerika ya Latini, amesisitiza kuwa nchi yake haitishiki na makabiliano ya kijeshi.