• Iran yazikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzuia taarifa ya NAM ya kulaani vikwazo vya US

    Iran yazikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzuia taarifa ya NAM ya kulaani vikwazo vya US

    Mar 19, 2020 04:23

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya baadhi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, kwa kuzuia kutolewa taarifa ya jumuiya hiyo ya kulaani vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran.

  • Sanders autaka utawala wa Trump uiondolee Iran vikwazo

    Sanders autaka utawala wa Trump uiondolee Iran vikwazo

    Mar 19, 2020 04:21

    Bernie Sanders, Seneta wa jimbo la Vermont anayewania kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Marekani katika uchaguzi wa mwaka huu kwa tiketi ya chama cha Democrat ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya utawala wa Donald Trump ya kushadidishi vikwazo dhidi ya Iran wakati huu ambapo taifa hili linakabiliana na mripuko wa ugonjwa wa Corona.

  • Takwa la Russia la kuondolewa vikwazo visivyo vya kiutu vya Marekani dhidi ya Iran

    Takwa la Russia la kuondolewa vikwazo visivyo vya kiutu vya Marekani dhidi ya Iran

    Mar 17, 2020 23:39

    Kuendelea vikwazo vya Marekani vyenye wigo mpana na ambavyo havijawahi kushuhudiwa dhidi ya Iran ambavyo vilianza kutekelezwa baada ya Washington kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei 2018, ni hatua ambayo ilikabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa katika uga wa kimataifa ambapo hata washirika wa Ulaya wa Washington nao waliikosoa hatua hiyo isiyo ya kibinadamu.

  • Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani katika kilele cha vita dhidi ya Corona nchini Iran

    Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani katika kilele cha vita dhidi ya Corona nchini Iran

    Mar 09, 2020 04:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Dunia haiwezi tena kubakia kimya wakati 'ugaidi wa kiuchumi' wa Marekani sasa umeunganishwa na 'ugaidi wa kimatibabu' dhidi ya taifa la Iran."

  • CNN yakiri kwamba Iran inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi vya Corona

    CNN yakiri kwamba Iran inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi vya Corona

    Mar 03, 2020 08:00

    Kanali ya televisheni ya CNN ya nchini Marekani imekiri kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi hatari vya Corona.

  • Njama za Trump za kuficha sera za Marekani dhidi ya Iran

    Njama za Trump za kuficha sera za Marekani dhidi ya Iran

    Mar 02, 2020 07:29

    Baada ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA mwezi Mei 2018, ilianzisha sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran; na katika fremu hiyo ikaiwekea Iran vikwazo vikali kabisa hata katika uga wa masuala ya kibinadamu. Pamoja na kuwepo sera hiyo ya White House, hivi sasa rais afriti wa Marekani anajifanya mtu mwenye kuwahurumia wananchi wa Iran na kudai eti yuko tayari kuisaidia Iran.

  • Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq

    Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq

    Feb 28, 2020 02:05

    Marekani imetuma idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Iraq tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh. Katika hatua yake ya kukurupuka Marekani imeliorodhesha jina la kiongozi wa mojawapo ya makundi muhimu ya taasisi ya Kataeb Hizbullah ya Iraq licha ya nafasi muhimu ya kundi la kujitolea la wananchi la al Hashd al Shaabi katika kutoa pigo na kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.

  • Hemmati: Iran ina uhusiano wa kimataifa wa kibenki usioweza kuwekewa vikwazo

    Hemmati: Iran ina uhusiano wa kimataifa wa kibenki usioweza kuwekewa vikwazo

    Feb 27, 2020 09:37

    Gavana wa Benki Kuu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imebuni uhusiano wa kibenki wa kimataifa usioweza kuwekewa vikwazo na wala usiohusiana na jopokazi la eti kupambana na utakatishaji wa fedha chafu linalojulikana kwa kimombo kama Financial Action Task Force (FATF).

  • Russia: tutapinga kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran

    Russia: tutapinga kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran

    Feb 26, 2020 23:24

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amevitaja vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kuwa kinyume cha sheria na kueleza kuwa Moscow itapinga juhudi zozote kwa lengo la kuirejeshea Tehran vikwazo vya Umoja wa Mataifa.

  • Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela

    Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela

    Feb 26, 2020 09:36

    Serikali ya Marekani ikiwa na lengo la kuendeleza mashinikizo dhidi ya Venezuela imeazimia kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.