Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo

    Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo

    Oct 15, 2019 23:26

    Licha ya kwamba awali rais wa Marekani alibariki uvamizi wa kijeshi wa Uturuki huko kaskazini mwa Syria lakini hivi sasa amegeuka kikamilifu na kutoa amri ya kuwekewa vikwazo Ankara.

  • Rouhani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ugaidi wa kiuchumi

    Rouhani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ugaidi wa kiuchumi

    Oct 15, 2019 09:40

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA ni fedheha kwa Marekani na kuongeza kuwa: "Fedheha kubwa zaidi kwa Marekani ni kuwawekea watu wa Iran vikwazo vya dawa na chakula."

  • Kanisa la Methodist Afrika lajiunga na harakati ya kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni

    Kanisa la Methodist Afrika lajiunga na harakati ya kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni

    Oct 12, 2019 08:45

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa Palestina ametangaza kuwa Kanisa la Methodist la Kusini mwa Afrika (MCSA) limejiunga na Harakati ya Kimataifa ya Kususia na Kuiwekea Vikwazo Israel- Boycott, Divestment and Sanctions- (BDS), kutokana na jinai za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina.

  • Vikwazo vya Marekani; uchokozi wa wazi dhidi ya nchi nyingine

    Vikwazo vya Marekani; uchokozi wa wazi dhidi ya nchi nyingine

    Oct 06, 2019 07:42

    Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Cuba na Venezuela yanazidi kushtadi, huku nchi hizo zikiwa zinaendelea kushikamana na malengo yao na kusisitizia juu ya kuimarishwa ushikamano wao.

  • Trump na ahadi zake bandia za kuiondolea Iran vikwazo baada ya kufanyika mazungumzo

    Trump na ahadi zake bandia za kuiondolea Iran vikwazo baada ya kufanyika mazungumzo

    Sep 30, 2019 08:36

    Baada ya kuiondoa nchi yake kwenye mapatano ya nyuklia mwezi Mei mwaka jana na kisha kuiwekea vikwazo vikali Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika miezi ya hivi karibuni Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha hamu kubwa ya kutaka kufanya mazungumzo na Iran ambapo baada ya kufanya mazungumzo na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, kulienea fununu za uwezekano wa kukutana marais wa Iran na Marekani kando ya mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York.

  • Sheikh Nabil Qaouk: Vikwazo vya Marekani havijawa na taathira yoyote kwa Hizbullah

    Sheikh Nabil Qaouk: Vikwazo vya Marekani havijawa na taathira yoyote kwa Hizbullah

    Sep 28, 2019 22:59

    Mjumbe wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya harakati hiyo havijawa na taathira na kwamba, vikwazo hivyo ni matokeo ya kukata tamaa Washington.

  • Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Sep 28, 2019 04:29

    Marekani ina rekodi kubwa zaidi ya kutumia aina mbali mbali za vikwazo dhidi ya nchi zingine kwa ajili ya kufikia malengo ya siasa zake za nje. Ushadidishaji vikwazo unaofanywa na Washington katika kipindi cha urais wa Donald Trump umekuwa ukipingwa na kulaaniwa kimataifa. Pamoja na hayo kinachoendelea kushuhudiwa kila uchao ni kutangazwa vikwazo vingine vipya vya Marekani dhidi ya nchi zingine duniani.

  • Rouhani: Vikwazo vya kikatili vya Marekani vimeongeza mshikamano nchini Iran

    Rouhani: Vikwazo vya kikatili vya Marekani vimeongeza mshikamano nchini Iran

    Sep 26, 2019 09:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya kikatili vya Marekani dhidi ya Tehran vimeshindwa kufikia malengo yake, na badala yake vimeongeza mshikamano miongoni mwa wananchi wa Iran.

  • China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa kununua mafuta ya Iran

    China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa kununua mafuta ya Iran

    Sep 26, 2019 08:51

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa China amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya nchi hiyo ya Asia kwa kuendelea kununua mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kukiri Marekani kwamba vikwazo vyake dhidi ya Iran vimefika kileleni na vimefeli

    Kukiri Marekani kwamba vikwazo vyake dhidi ya Iran vimefika kileleni na vimefeli

    Sep 23, 2019 23:18

    Baada ya kujitoa bila sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kwa jina la JCPOA na kuirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya mapatano hayo, bali kuongeza vikwazo vikubwa zaidi ambavyo havijawahi kutokea mfano wake, leo hii serikali ya Donald Trump ya Marekani imelazimika kukiri kuwa vikwazo vyake hivyo vimeshindwa kuzaa matunda yaliyotarajiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS