Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Dakta Zarif: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinafunga milango yote ya mazungumzo

    Dakta Zarif: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinafunga milango yote ya mazungumzo

    Sep 22, 2019 09:25

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye ameelekea New York Marekani kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua mpya ya Marekani dhidi ya Iran.

  • Zarif: Vikwazo vya Marekani vinawalenga wananchi wa kawaida wa Iran

    Zarif: Vikwazo vya Marekani vinawalenga wananchi wa kawaida wa Iran

    Sep 19, 2019 09:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kutangaza vikwazo vipya dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, kushadidishwa ugaidi huo wa kiuchumi kwa mara nyingine kumeonesha namna Washington inavyowalenga Wairani wa kawaida.

  • Mayahudi wa Afrika Kusini waususia kitaaluma utawala wa Kizayuni

    Mayahudi wa Afrika Kusini waususia kitaaluma utawala wa Kizayuni

    Sep 18, 2019 20:55

    Karibu wasomi 70 wa Kiyahudi wa nchini Afrika Kusini wameususia kitaaluma utawala ghasibu wa Kizayuni.

  • Sisitizo la Russia la kushirikiana na Iran kwa ajili ya kuanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Sisitizo la Russia la kushirikiana na Iran kwa ajili ya kuanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Sep 14, 2019 22:04

    Vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia na Iran vinavyotekelezwa kwa visingizio mbalimbali vimezifanya nchi mbili hizi zifanye mashauriano lengo likiwa ni kutafuta njia za kukabiliana navyo. Russia inaitazama Iran kama nchi mshirika wake yenye maslahi ya pamoja ya pande mbili na wakati huo huo inatilia maanani suala la kuimarisha msimamo wa Iran katika kukabiliana na Magharibi hususan Marekani.

  • Meja Jenerali Salami: Mashinikizo ya maadui hayawezi kuipigisha magoti Iran

    Meja Jenerali Salami: Mashinikizo ya maadui hayawezi kuipigisha magoti Iran

    Sep 12, 2019 22:08

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, taifa la Iran limedhihirisha kuwa lina nguvu kuliko vikwazo na katu haliwezi kupigishwa magoti na mashinikizo ya maadui.

  • Iran: Hatufanyi mazungumzo na Marekani iwapo wanaendeleza ugaidi wa kiuchumi

    Iran: Hatufanyi mazungumzo na Marekani iwapo wanaendeleza ugaidi wa kiuchumi

    Sep 11, 2019 02:59

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema ni jambo lisilowezekana kwa Jamhuri ya Kiislamu kufanya mazungumzo na Marekani madhali serikali ya Washington inaendeleza ugaidi wa kiuchumi na kuliwekea vikwazo taifa hili.

  • Ukosoaji wa Russia kwa nafasi haribifu ya Magharibi katika Ghuba ya Uajemi

    Ukosoaji wa Russia kwa nafasi haribifu ya Magharibi katika Ghuba ya Uajemi

    Sep 10, 2019 22:01

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran.

  • Misri yataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan

    Misri yataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan

    Sep 10, 2019 02:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametaka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan, akisisitiza kuwa serikali mpya ya kiraia ya Khartoum inahitaji uungaji mkono wa jamii ya kimataifa na sio kuendelea kuwekewa vikwazo na kutengwa.

  • Hatua mpya za Marekani dhidi ya JCPOA; kupinga mpango wa Ufaransa na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran

    Hatua mpya za Marekani dhidi ya JCPOA; kupinga mpango wa Ufaransa na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran

    Sep 05, 2019 21:55

    Rais Donald Trump wa Marekani alisikika mara kadha wa kadha akiyakosoa vikali makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na hatimaye mnamo tarehe 8 Mei, 2018 akatangaza rasmi kujitoa nchi yake katika makubaliano hayo. Kilichofuata baada ya hapo, ilikuwa ni kutekelezwa na serikali ya Trump katika awamu mbili tofauti vikwazo vikali dhidi ya Iran sambamba na kupinga mpango wowote wa kuyalinda makubaliano hayo ya nyuklia.

  • Vikwazo vipya vya Marekani na woga wa Washington kuhusu nguvu za makombora za Iran

    Vikwazo vipya vya Marekani na woga wa Washington kuhusu nguvu za makombora za Iran

    Aug 29, 2019 23:12

    Katika kipindi hiki cha utawala wa Donald Trump, Marekani imeliwekea taifa la Iran vikwazo vikubwa mno baada ya Washington kujitoa bila sababu katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS