-
Wito wa Umoja wa Mataifa kwa Marekani wa kutimiza wajibu wake wa kidiplomasia kuhusiana na Zarif
Aug 08, 2019 22:38Kuwekewa vikwazo Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif na serikali ya Trump kumetafsiriwa na wengi kama ishara ya kuemewa na kuzidiwa nguvu Marekani na diplomasia imara na amilifu ya Tehran. Na kitendo hicho kimeibua hisia kali na ukosoaji mkubwa dhidi ya Washington duniani.
-
Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya
Aug 08, 2019 22:15Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesisitiza kuwa siasa zinazotekelezwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Iran zimekuwa na taathira hasi kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya.
-
Larijani: Zarif ni nembo ya uchapakazi na diplomasia makini ya Iran
Aug 05, 2019 22:06Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amemtaja Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni nembo ya uchapakazi na diplomasia makini ya Iran.
-
Dakta Zarif: Nimewekewa vikwazo baada ya kukataa pendekezo la kukutana na Trump
Aug 05, 2019 07:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria safari yake ya mwezi uliopita huko New York na kusema kuwa, "niliambiwa nitawekewa vikwazo katika kipindi cha wiki mbili zijazo isipokuwa kama nitakubali kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani."
-
Rais Rouhani: Marekani imeshindwa na kufeli mbele ya taifa la Iran
Aug 01, 2019 08:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwaka jana maadui wa taifa la Iran walidai kuwa wanaweza kuuondoa madarakana mfumo wa Kiislamu unaotawala Iran, kuvunja uhuru wake na kuweka hatamu za nchi hiyo katika mikono ya White House, lakini hawakujua kwamba taifa la Iran litashinda na kuzima mashinikizo ya adui.
-
Wendy Sherman akosoa hatua ya serikali ya Trump ya kumuwekea vikwazo Zarif
Aug 01, 2019 08:01Naibu wa zamani wa waziri wa ya mambo ya nje wa Marekani, Wendy Sherman, amekosia hatua ya serikali ya rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump ya kumuwekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif akisema kuwa inatoa pigo kwa mwenendo wa kidiplomasia.
-
Vikwazo dhidi ya Zarif; maigizo ya kukata tamaa Marekani mbele ya nguvu ya diplomasia ya Iran
Aug 01, 2019 07:11Tangu serikali ya Rais Donald Trump ilipoingia madarakani nchini Marekani, ikiwa na lengo la kutekeleza 'siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi' ilitanguliza mbele siasa za kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vya upande mmoja na vyenye wigo mpana.
-
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali
Jul 16, 2019 03:37Marekani imekuwa ikitumia fimbo vya vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kijuba na kimabavu.
-
Marekani yalegeza msimamo kuhusiana na vikwazo dhidi ya Zarif
Jul 12, 2019 03:03Vyombo vya kuaminika vinasema kuwa serikali ya Marekani imeamua kulegeza msimamo na kutomuwekea vikwazo kwa sasa, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
"Siasa za Marekani dhidi ya Iran zimefeli"
Jul 07, 2019 22:12Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefeli.