-
Rais Rouhani: Tunajifakharisha kwa makombora yetu ya kiulinzi na kielimu
Jan 10, 2019 12:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makombora leo hii ni zana ya kujilinda Iran na taifa letu leo hii linajivunia na linaona fakhari kubwa kuwa na nguvu za kiulinzi za makombora.
-
Kushadidi mivutano baina ya Russia na Ukraine; vikwazo na makabiliano ya kijeshi
Dec 26, 2018 05:05Tangu mwaka 2014 wakati hatamu za uongozi wa nchi ya Ukraine ziliposhikwa na serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi na kuunganishwa eneo la Cremia na ardhi ya Russia, uhusiano wa Moscow na Kiev uliporomoka sana na kutawaliwa na mivutano mingi.
-
Kampeni ya "Susia Bidhaa za Saudi Arabia" yaanzishwa katika nchi za Kiislamu
Dec 24, 2018 11:30Wadau wa mitandao ya kijamii katika nchi za Kiarabu na Kiislamu wameanzisha kampeni ya "Susia Bidhaa za Saudi Arabia" wakilaani jinai za kivita zinazoendelea kufanywa na utawala huo wa kifalme dhidi ya Waislamu wa Yemen.
-
Iran: Lugha ya heshima inapaswa kuchukua nafasi ya lugha ya vikwazo na vitisho
Dec 19, 2018 04:23Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema taifa hili limeishi chini ya vikwazo kwa miaka mingi na hata kupata mafanikio makubwa chini ya vikwazo hivyo, na kwa msingi huo, lugha ya heshima inapaswa kuchukua nafasi ya lugha ya vikwazo na vitisho.
-
Ndege za Abiria za Iran Air zaendelea kuruka licha ya vikwazo vya Marekani
Dec 16, 2018 23:10Ndege za Shirika la Ndege la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran maarufu kama Iran Air zinaendelea kuruka katika anga za kimataifa pamoja na kuwepo vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
-
Rouhani: Iran inaendelea kuuza mafuta yake duniani hata baada ya vikwazo vya Marekani
Dec 11, 2018 12:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uuzaji mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la dunia unaendelea hata baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vilianza Novemba Nne.
-
EU yaongeza vikwazo vyake dhidi ya serikali ya Myanmar
Dec 10, 2018 23:06Baraza la Umoja wa Ulaya limetoa taarifa na kusema kuwa limeamua kuiwekea vikwazo zaidi serikali ya Myanamar kutokana na ukatili na ukandamizaji iliowafanyia Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Jitihada za Marekani za kuzuia maendeleo ya teknolojia ya China
Dec 08, 2018 23:22Tangu alipochukua madaraka, Rais Donald Trump wa Marekani ameisababishia China changamoto mbalimbali. China inahesabiwa kuwa nguvu kubwa zaidi ya pili ya kiuchumi duniani.
-
Sisitizo la EU la kuhifadhiwa ushirikiano wake wa kiuchumi na Iran
Nov 30, 2018 03:57Umoja wa Ulaya mara kwa mara umekuwa ukisisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na sababu kuu ni nafasi muhimu na bora ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati ikiwa ni pamoja na nafasi yake bora katika upande wa jiopolitiki, kisiasa, kiuchumi na kinishati. Jambo jingine linalopewa umuhimu na Umoja wa Ulaya ni kulinda mapatano ya nyukilia ya JCPOA.
-
Canada yawawekea vikwazo raia 17 wa Saudia kwa kuhusika na mauji ya Khashoggi
Nov 30, 2018 00:59Serikali ya Canada imewawekea vikwazo raia 17 wa Saudi Arabia kwa kuhusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiuokosoa utawala wa hivi sasa wa nchi hiyo.