-
Marekani yaendelea kuisakama Korea Kaskazini, yamuwekea vikwazo anayeisaidia kununua mafuta
Nov 20, 2018 11:47Katika mwendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, Wizara ya Fedha ya nchi hiyo imemuwekea vikwazo mfanyabiashara mmoja wa Russia kwa tuhuma za kuidhaminia mafuta Pyongyang.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani havitaiburuza mezani Iran
Nov 20, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya kidhalmu vya Marekani katu haviwezi kuilazimisha Tehran iende kwenye meza ya mazungumzo wala kuifanya isalimu amri mbele ya matakwa ya Washington.
-
Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia
Nov 18, 2018 03:32Uhusiano wa Marekani na Russia tangu baada ya kumalizika Vita Baridi umekuwa na pandashuka nyingi na mivutano ya mara kwa mara. Tangu mwaka 2011 Marekani imekuwa ikiiwekea vikwazo Russia kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Nchi 13 zinashindana kununua mfungo wa makombora wa Russia wa S-400
Nov 16, 2018 04:13Licha ya Marekani kutishia kuiwekea vikwazo zaidi Russia, tayari mataifa 13 yameonyesha utayarifu wao kwa ajili ya manunuzi ya ngao ya makombora ya S-400 ya nchi hiyo.
-
Marekani yajitoa kimasomaso kwa kuwawekea vikwazo watu waliohusika kumuua Khashoggi
Nov 16, 2018 04:11Wizara ya Hazina ya Marekani na katika hatua yake iliyochelewa, imewawekea vikwazo raia kadhaa wa Saudi Arabia kutokana na mauaji dhidi ya Jamal Khashoggi, mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.
-
Vita vya kiuchumi vya Marekani na Iran inayoendelea kusonga mbele kiustawi
Nov 11, 2018 05:46Rais Donald Trump wa Marekani anaamini kuwa, awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya Iran ni aina kali zaidi ya vikwazo itakavyo vihimili Iran. Awamu hiyo ya pili ya vikwazo vya serikali ya Washington ilianza kutekelezwa tarehe 5 Novemba; vikwazo ambavyo vinawaathiri moja kwa moja raia wa kawaida wa Iran.
-
Mhadhiri wa Chuo Kikuu India: Marekani imeshindwa kikamilifu kuitenga Iran kimataifa
Nov 11, 2018 01:07Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Bara Ulaya cha Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru cha New Delhi, India amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuziruhusu nchi kadhaa kuendelea kununua mafuta ya Iran ni ushahidi wa kushindwa kikamilifu njama za Marekani za kuitenga Iran kimataifa.
-
Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani
Nov 07, 2018 04:46Akizungumza jana ikiwa ni siku moja baada ya kuanza kutekelezwa duru ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewahutubu viongozi wa Washington kwa kusema, serikali ya Marekani ambayo imeshindwa hata kuwathibitishia wananchi wake kwamba, sera zake ni kwa munufaa ya wananchi inasubiriwa na hatima mbaya katika siku za usoni.
-
Waziri wa mafuta wa Iran: Watumiaji mafuta duniani wajiandae na siku nzito
Nov 07, 2018 04:34Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Namdar Zangeneh amesema kuwa kiwango kilichoruhusiwa na Marekani kwa ajili ya wanunuzi wa mafuta ya Iran, hakilingani na mahitajio na hivyo inatazamiwa kwamba katika miezi ijayo watumiaji wa nishaji hiyo muhimu watakabiliwa na kipindi kigumu mno.
-
"Orodha ya vikwazo vipya dhidi ya Iran vinaonesha kukanganyikiwa Marekani"
Nov 06, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema miongoni mwa majina yaliyoko kwenye orodha ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Tehran ni benki iliyofungwa miaka sita iliyopita na meli ya mafuta ya Iran iliyozama katika bahari ya China karibu mwaka mmoja uliopita.