-
Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo
Feb 05, 2025 23:01Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.
-
Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC
Jan 30, 2025 23:19Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni jibu la utoaji vitisho linalolenga kuiadhibu mahakama hiyo kwa uamuzi wake wa kutoa hati za kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo wa Kizayuni Yoav Gallant.
-
Waziri Mkuu wa Slovakia: Ukraine haitaweza katu kujiunga na NATO, ni baidi pia kupata uanachama wa EU
Jan 26, 2025 23:06Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico amesema, Ukraine haitaweza katu kujiunga na shirika la kijeshi la NATO, na ni baidi pia kuwa jitihada zake za kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya zitafanikiwa.
-
Rais Pezeshkian: Iran haitasalimu amri kwa vitisho na vikwazo
Jan 24, 2025 03:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili halitasalimu amri kwa vitisho na vikwazo vya maadui.
-
Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?
Jan 17, 2025 10:25Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa rais wa nchi anayeondoka mamlakani Joe Biden, ataiondoa Cuba kwenye orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia
Dec 08, 2024 23:39Hatua za Umoja wa Ulaya (EU) za kujaribu kufikia mwafaka juu ya utekelezaji wa kifurushi cha 15 cha vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kutokana na kura za turufu zilizopigwa na Latvia na Lithuania.
-
Zaidi ya wawakilishi 60 wa Uingereza wataka kuwekwa vikwazo dhidi ya Israel
Nov 30, 2024 08:32Zaidi ya wawakilishi 60 katika Bunge la Uingereza kutoka vyama 7 tofauti wametia saini barua iliyotumwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, David Lammy, wakitaka kuwekwa vikwazo vya pande zote dhidi ya Israel kutokana na ukiukaji wake wa mara kwa mara wa sheria za kimataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Jeshi la Syria: Magaidi wakufurishaji 100 wameuawa na kujeruhiwa; maeneo mengi yamekombolewa
Nov 30, 2024 02:38Jeshi la Syria limewaua na kuwajeruhi mamia ya magaidi wa kitakfiri wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni katika operesheni za kujihami na kujibu mapigo kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland
Nov 09, 2024 22:41Wabunge wa Ireland wamepasisha muswada ambao unauarifisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala mtenda jinai unaofanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza mbele ya macho ya walimwengu.
-
Radiamali ya Iran kwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Shirika la Ndege la Iran Air
Sep 12, 2024 23:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.