-
Russia: Iran haijakiuka maazimio ya kimataifa
Mar 30, 2016 21:50Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi yake inapinga hatua yoyote ya kuweka vikwazo dhidi ya Iran kwa sababu Tehran haijakiuka azimio lolote kwa kufanya majaribio ya makombora.
-
Yemen yakaribisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Saudia
Feb 26, 2016 04:43Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amekaribisha kwa mikono miwili mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuiwekea vikwazo na marufuku ya kuuziwa silaha Saudi Arabia.
-
EU yataka Saudia iwekewe vikwazo vya silaha
Feb 25, 2016 11:59Bunge la Ulaya limepasisha azimio la kutaka Saudi Arabia iwekewe vikwazo vya silaha kutokana na vikosi vya utawala wa Aal-Saud kushadidisha hujuma zake dhidi ya taifa la Yemen.
-
EU kuiwekea vikwazo zaidi Burundi
Feb 15, 2016 11:45Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa uko tayari kuiwekea vikwazo zaidi nchi ya Burundi.