-
Kusambaratika siasa za vikwazo; Marekani yapigia magoti mafuta ya Venezuela
Nov 29, 2022 02:27Baada ya kupita takriban miaka 10 ya vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Venezuela, hatimaye Washington imesalimu amri na imeamua kupigia magoti mafuta ya Venezuela.
-
Mbunge wa EU: Kwa nini Ulaya haikutaka Marekani iwekewe vikwazo ilipowaua Wairaqi kwa halaiki?
Nov 22, 2022 02:24Mick Wallace, Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya amesema, umoja huo ulionyesha undumlakuwili kwa kunyamaza kimya wakati askari wa jeshi la Marekani walipowaua kwa umati raia wa Iraq.
-
Kan'ani: Kuvifungia vyombo vya habari vya Iran ni uvunjaji wa wazi wa haki za binadamu
Nov 18, 2022 11:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran ameonesha hisia zake kuhusu kitendo cha nchi za Magharibi cha kuliwekea vikwazo Shirika la Sauti na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, IRIB.
-
Mkuu wa IRIB: Licha ya kuwekewa vikwazo, sauti ya Jamhuri ya Kiislamu itawafikia walimwengu
Nov 16, 2022 12:38Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema: Kanali ya Press TV inaendesha shughuli zake katika uga wa kimataifa licha ya kukabiliana na washindani wenye nguvu; na licha ya kuwekewa vikwazo, sauti ya Jamhuri ya Kiislamu itawafikia walimwengu.
-
Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran
Oct 25, 2022 13:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amedokeza kuwa karibuni hivi majina ya taasisi na shakhsia kadhaa wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya yataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo
Oct 22, 2022 12:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Iran inachukua hatua kwa kutumia mantiki na kuchunga mistari myekundu ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na haitapatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo.
-
Umoja wa Ulaya wapendekeza kifurushi cha vikwazo vipya dhidi ya Russia
Sep 29, 2022 07:57Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya jana usiku alipendekeza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Moscow; vikiwemo vikwazo katika bei ya mafuta na kuizuia Russia kuuza mafuta yake ya kiasi cha dola bilioni 7.
-
Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani
Sep 29, 2022 02:26Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa Marekani kwa kutekeleza sera ya vikwazo na kusababisha matatizo na masaibu kwa nusu ya watu wote duniani.
-
Rais wa Venezuela: Vikwazo ni jinai dhidi ya binadamu
Sep 26, 2022 10:56Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema, vita vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya nchi yake ni "jinai dhidi ya binadamu" na ametabiri kuundwa ulimwengu wa kambi kadhaa kwa mchango wa Iran, Russia na China.
-
Ripota Maalumu wa UN: Kuna udharura wa kukomesha vikwazo dhidi ya Iran
Sep 12, 2022 15:13Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amechapisha ripoti yake rasmi kuhusu ulazima wa kukomesha vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.