-
Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya
Dec 14, 2018 23:10Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine vipya.
-
China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone
Dec 12, 2018 09:02Kampuni ya Apple ya Marekani imepata pigo kubwa baada ya mahakama moja ya China kupiga marufuku uuzaji wa simu za iPhone nchini Uchina.
-
Rais wa Ukraine: Kuna uwezekano tukaingia vitani na Russia
Nov 28, 2018 12:12Sambamba na Rais Petro Poroshenko wa Ukraine kusema kuwa, Russia imeimarisha zaidi kuwepo kwake kijeshi katika mpaka wa nchi hiyo, ameeleza kuwa, kuna uwezekano kukatokea vita kamili kati ya nchi yake na Russia.
-
Utafiti: Marekani imetumia dola trilioni 6 katika vita vilivyoua watu laki 5 tangu 9/11
Nov 16, 2018 21:42Utafiti mpya umeonesha kuwa, Marekani imetumia karibu dola trilioni 6 katika vita ambavyo vimepelekea kuuawa watu nusu milioni, tangu mashambulizi ya Septemba 11.
-
Rais Bashar al-Assad: Muda si mrefu vita vitamalizika nchini Syria
Oct 03, 2018 10:17Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muda si mrefu vita ilivyotwishwa nchi hiyo vitamalizika na nchi hiyo kuwa na nafasi kama iliyokuwa nayo hapo awali katika ulimwengu wa Kiarabu.
-
Ndege za kivita za Saudia zaua watu 15 Hudaydah, Yemen
Sep 15, 2018 09:28Watu wasiopungua 15 wamepoteza maisha kufuatia hujuma ya ndege za kivita za Saudia katika barabara ya kistratijia inayounganisha mji mkuu wa Yemen, Sana'a na mji wa bandarini wa Hudaydah magharibi mwa nchi hiyo.
-
Ufaransa yakiri, Syria imeshinda vita vya ndani
Sep 03, 2018 03:09Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi mbili wanachama katika Umoja wa Ulaya (EU) tangu mwaka 2011 zikiwa katika muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria, zimekuwa zikitoa misaada ya pande zote kwa makundi ya waasi na ya kigaidi kwa shabaha eti ya kuipindua serikali ya Rais Bashar Assad.
-
Ayatullah Khatami: Marekani na waitifaki wake watapata hasara katika vita na Iran
Aug 22, 2018 03:01Khatibu wa Sala ya Idul Adha mjini Tehran amesema Marekani inafahamu kuwa, iwapo kutajiri vita baina yake na Iran, si tu kuwa binafsi itapata hasara, bali pia muitifaki wake mkuu yaani, utawala wa Kizayuni wa Israel nao pia utapata pigo kubwa.
-
HRW yasisitiza kuwa Marekani na Uingereza ni washirika wa jinai za Saudia dhidi ya raia wa Yemen
Aug 19, 2018 03:08Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umetekekeza kiwango kikubwa sana cha jinai za kivita tokea uanzishe hujuma dhidi ya Yemen mwezi Machi mwaka 2015. Jinai hizo zimetekelezwa kwa msaada mkubwa wa kisilaha, kijeshi na kijasusi kutoka kwa Marekani na Uingereza.
-
Bomu lililotumika kuua watoto Yemen liliundwa Marekani
Aug 19, 2018 02:38Wataalamu wa silaha wamethibitisha kuwa bomu ambalo lilitumiwa na ndege za kivita za Saudia hivi karibuni kushambulia basi la shule na kuua makumi ya watoto lilitengenezwa Marekani.