• Saudia imeshindwa katika vita dhidi ya Yemen

    Saudia imeshindwa katika vita dhidi ya Yemen

    Feb 16, 2020 07:30

    Kuvunjika makubaliano ya Riyadh, kuondoka kikamilifu askari wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutoka Yemen na kutunguliwa ndege ya kivita aina ya Tornado ya muungano vamizi wa Saudia, kabla ya jambo lolote lile, ni mambo yanayoashiria kushindwa serikali ya Riyadh katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen.

  • Vijana wa Sudan wasimulia jinsi Abu Dhabi ilivyowapeleka kupigana vita Libya

    Vijana wa Sudan wasimulia jinsi Abu Dhabi ilivyowapeleka kupigana vita Libya

    Feb 15, 2020 23:21

    Vijana wa Kisudan waliorejea makwao hivi karibuni wamesimulia jinsi walivyohadaiwa na kampuni ya Black Shield Security Services iliyowaahaidi kuwapa kazi za ulinzi na badala yake walijikuta wakipewa mafunzo ya kijeshi yasiyooana na kazi zao na kupelekwa bila ya kujua huko Libya na Yemen kupigana vita.

  • Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Jan 29, 2020 11:35

    Ripoti iliyotolewa na gazeti la Independent la Uingereza imefichua kuwa, mapatano tete ya kusitisha vita yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya madola makubwa mjini Berlin huko Ujerumani yanaelekea kuporomoka kutokana na mashambulizi ya anga yanayoshuhudiwa sasa nchini Libya na vitisho vinavyoendelea kutolewa na pande hasimu.

  • Kuendelea mgogoro nchini Libya, Haftar azidi kupiga ngoma ya vita

    Kuendelea mgogoro nchini Libya, Haftar azidi kupiga ngoma ya vita

    Jan 28, 2020 02:52

    Vita nchini Libya vimeanza upya licha ya kuweko juhudi kubwa za kimataifa za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Juhudi mbalimbali za kuyakusanya pamoja makundi hasimu ya Libya zilizofanyika katika nchi mbalimbali kama Moscow Russia, Berlin Ujerumani na Algiers nchini Algeria zimeshindwa kutuliza hali ya mambo nchini humo.

  • Tahadhari ya UN kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto vitani nchini Syria

    Tahadhari ya UN kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto vitani nchini Syria

    Jan 19, 2020 23:24

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, katika muda wa miaka tisa ya vita huko Syria watoto wa kike na wa kiume wa nchi hiyo wamenyimwa haki zao za msingi na haki zao zimekiukwa pakubwa.

  • Wamarekani waandamana kulaani uchu wa vita wa utawala wa Trump

    Wamarekani waandamana kulaani uchu wa vita wa utawala wa Trump

    Jan 05, 2020 04:27

    Maelfu ya wanaharakati na wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika makumi ya miji ukiwemo mji mkuu Washington, kulaani hatua ya utawala wa Donald Trump ya kumuua shahidi kamanda wa jeshi la Iran, Luteni Jenerali Soleimani, pamoja na hatua ya Washington ya kutuma maelfu ya askari katika eneo la Asia Magharibi.

  • Indhari ya China kwa hatua ya Marekani ya kuzigeuza anga za mbali kuwa uwanja wa vita

    Indhari ya China kwa hatua ya Marekani ya kuzigeuza anga za mbali kuwa uwanja wa vita

    Dec 20, 2019 23:09

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa indhari kuhusu hatari ya anga za mbali kugeuzwa kuwa uwanja na medani mpya ya vita. Indhari na onyo hilo la China limetolewa kama jibu na radiamali kwa sheria ya ulinzi wa taifa iliyopitishwa na serikali ya Marekani.

  • Madai ya upotoshaji ya Trump kwamba Asia Magharibi imestawishwa na Marekani

    Madai ya upotoshaji ya Trump kwamba Asia Magharibi imestawishwa na Marekani

    Oct 27, 2019 04:44

    Baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 na kupitia kisingizio cha kupambana na ugaidi, Marekani ilianzisha hujuma zake dhidi ya eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ambapo mwaka 2001 Washington iliivamia kijeshi Afghanistan, huku mwaka 2003 ikiishambulia Iraq.

  • Abiy Ahmed: Tukilazimika tutaingia vitani na Misri kwa ajili ya bwawa la El Nahdha

    Abiy Ahmed: Tukilazimika tutaingia vitani na Misri kwa ajili ya bwawa la El Nahdha

    Oct 22, 2019 23:16

    Waziri Mkuu wa Ethiopia ametahadharisha kuwa, nchi hiyo itakusanya mamilioni ya wapiganaji iwapo italazimika kingia vitani na Misri katika mzozo wa ujenzi wa bwawa la El Nahdha juu ya maji ya Mto Nile.

  • Reuters: Baadhi ya wanafamilia ya kifalme Saudia wanataka Bin Salman awekwe kando, ami yake ashike madaraka

    Reuters: Baadhi ya wanafamilia ya kifalme Saudia wanataka Bin Salman awekwe kando, ami yake ashike madaraka

    Oct 03, 2019 04:27

    Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, baadhi ya wanafamilia ya kifalme inayotawala Saudi Arabia na wafanya biashara wakubwa wa nchi hiyo wameeleza kuvunjwa moyo na uongozi wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman baada ya hujuma na mashambulizi makali ya wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wa Yemen dhidi ya vituo na taasisi za kuzalisha mafuta mwezi uliopita.