Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • UN: Waislamu wa Rohingya walioko Bangladesh hawataki kurejea Myanmar

    UN: Waislamu wa Rohingya walioko Bangladesh hawataki kurejea Myanmar

    Aug 20, 2019 22:10

    Maafisa wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) na wale wa serikali ya Bangladesh wametangaza kuwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia nchini Bangladesh hawataki kurejea katika nchi yao ya Myanmar.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan atahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita na India

    Waziri Mkuu wa Pakistan atahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita na India

    Aug 07, 2019 03:30

    Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuwa, kuna uwezekano wa kutokea vita baina ya nchi yake na India baada ya New Delhi kufuta kifungu cha katiba kinacholipa mamlaka ya utawala wa ndani jimbo linalozozaniwa na Kashmir.

  • Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?

    Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?

    Jun 29, 2019 23:46

    Baadhi ya duru za habari zimeripoti kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umepunguza idadi ya askari wake waliokuwa katika mji wa Aden huko kusini mwa Yemen.

  • Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran

    Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran

    Jun 24, 2019 03:34

    Utawala wa Marekani unaendelea kuchanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran na hali hiyo ilifikia kilele chake baada ya ndege isiyo na rubani (drone) ya kijasusi ya Marekani kutunguliwa na vikosi vya kijeshi vya Iran Alhamisi iliyopita.

  • Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran

    Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran

    Jun 23, 2019 23:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.

  • UN: Vita vimewafanya watu milioni 71 duniani kuwa wakimbizi

    UN: Vita vimewafanya watu milioni 71 duniani kuwa wakimbizi

    Jun 19, 2019 03:09

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema takriban watu milioni 71 wamelazimika kuwa wakimbizi kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya

    May 23, 2019 03:43

    Kuendelea vita nchini Libya kumezidisha machafuko na mgogoro katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kiasi kwamba Ghassan Salamé, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa kwamba, hatoi tahadhari kuhusu kutokea vita vya ndani na vya umwagaji damu tu, bali anatoa onyo la kusambaratika vipande vipande Libya.

  • Libya katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe

    Libya katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe

    May 22, 2019 03:26

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameonya kuwa, taifa hilo lenye utajiri wa mafuta liko katika ncha ya kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vitaigawa nchi hiyo mapande mapande.

  • Kamanda wa IRGC: Iran haitaki vita, lakini pia haiogopi vita

    Kamanda wa IRGC: Iran haitaki vita, lakini pia haiogopi vita

    May 19, 2019 10:00

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hussein Salami amesema kuwa Iran haitaki vita lakini pia wakati huo huo haiogopi vita.

  • Iran yasema vita havitaibuka katika eneo

    Iran yasema vita havitaibuka katika eneo

    May 19, 2019 03:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema hakuna vita vitakavyoibuka Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) pamoja na kuwepo hali ya taharuki baina ya Iran na Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS