Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • Kiongozi wa Wakristo wa Palestina: Hatua za karibuni dhidi ya Quds zitaifikia mpaka Makka

    Kiongozi wa Wakristo wa Palestina: Hatua za karibuni dhidi ya Quds zitaifikia mpaka Makka

    Dec 21, 2017 12:48

    Kiongozi wa kiroho wa Wakristo wa Palestina Kasisi Manuel Musallam amesema, hatua iliyochukua Marekani hivi karibuni dhidi ya Quds inalenga kuanzisha vita vya kidini ambavyo vitafika mpaka Makka.

  • Hizbullah ya Lebanon yataka mgogoro wa Yemen upatiwe ufumbuzi wa kisiasa

    Hizbullah ya Lebanon yataka mgogoro wa Yemen upatiwe ufumbuzi wa kisiasa

    Dec 21, 2017 04:02

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa rasmi kwa mnasaba wa kutimia siku 1000 tangu kuanza hujuma na mashambulio ya kijeshi ya Saudia huko nchini Yemen na kutoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia za kisiasa.

  • Marekani yakiri kuwa haiwezi kuingia kwenye vita vya kijeshi na Iran

    Marekani yakiri kuwa haiwezi kuingia kwenye vita vya kijeshi na Iran

    Dec 17, 2017 04:26

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekiri kuwa Washington haina mpango wowote wa kuanzisha vita vya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na tuhuma kuwa Tehran inaizatiti kwa silaha harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China

    Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China

    Dec 10, 2017 11:12

    Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Rand Corporation unaonyesha kuwa iwapo kutatokea vita na mapigano ya kijeshi Marekani ndiyo itakayopata hasara kubwa mkabala na Russia na China.

  • Mamilioni Yemen yamkini wakafariki kutokana na mzingiro uliowekwa na Saudia

    Mamilioni Yemen yamkini wakafariki kutokana na mzingiro uliowekwa na Saudia

    Nov 20, 2017 10:55

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Dunaini, WFP, limeonya kuwa mamilioni ya watu wa Yemen wanakabiliwa na hatari ya mauti kufuatia mzingiro uliowekwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na hivyo kuzuia misaada kuwafikia wanaohitajia.

  • Korea Kaskazini: Vita ya nyuklia vinaweza kutokea wakati wowote ule

    Korea Kaskazini: Vita ya nyuklia vinaweza kutokea wakati wowote ule

    Oct 19, 2017 00:33

    Mwakilishi wa kamisheni kuu ya Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ni suala linalowezekana sana kutokea kwa vita vya nyuklia katika Rasi ya Korea, kutokana na kuendelea maneva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini katika eneo hilo.

  • Marekani, Israel na Saudia zinapanga njama ya kuizingira Hizbullah

    Marekani, Israel na Saudia zinapanga njama ya kuizingira Hizbullah

    Oct 09, 2017 23:38

    Gazeti moja la nchini Lebanon la al-Akhbar limeandika kuwa, hivi sasa Marekani, Saudia na Israel zinapanga njama kwa ajili ya kuidhibiti harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ili kuizuia isiweze kutumia uwezo wake katika vita vijavyo vya kuainisha hatima.

  • Mamilioni ya wapiganaji wa kujitolea Korea Kaskazini wajiweka tayari kupambana na Marekani

    Mamilioni ya wapiganaji wa kujitolea Korea Kaskazini wajiweka tayari kupambana na Marekani

    Aug 12, 2017 23:18

    Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vimeripoti kwamba karibu watu milioni 3.5 wa kujitolea wametangaza utayarifu wao kwa ajili ya kupambana na Marekani vitani.

  • Kuongezeka umasikini Israel, matokeo ya siasa za kupenda vita za baraza la mawaziri la Netanyahu

    Kuongezeka umasikini Israel, matokeo ya siasa za kupenda vita za baraza la mawaziri la Netanyahu

    Jun 01, 2017 03:38

    Katika hali ambayo vituo vya utafiti vimeelezea kuwepo ongezeko la umasikini huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, bado linaendelea na siasa zake za kupenda vita.

  • The Guardian: Hakuna anayeweza kudhibiti tabia za kimabavu za Trump

    The Guardian: Hakuna anayeweza kudhibiti tabia za kimabavu za Trump

    Apr 14, 2017 22:00

    Gazeti la The Guradian linalochapishwa Uingereza limekosoa shambulio la kombora la Marekani dhidi ya Syria na udondoshaji wake wa bomu la 'mama wa mabomu yote' nchini Afghanistan na kusisitiza kuwa "hakuna mtu awezaye kumdhibiti Rais Donald Trump wa Marekani."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS