-
Wamarekani waandamana kupinga mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Syria
Apr 08, 2017 11:21Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakipinga sera za kupenda vita na ubabe za serikali ya Rais mpya wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Kwa mara ya kwanza, ICC kuwalipa fidia wahanga wa jinai za kivita Kongo
Mar 24, 2017 12:01Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ( ICC) leo Ijumaa imeamuru kuwa kila mmoja kati ya wahanga 297 wa Germain Katanga, mbabe wa zamani wa kivita wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo alipwe fidia ya dola 250 kutokana na mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa kijijini kwao mwaka 2003.
-
Mapambano ya wasimamia amani wa UN na wanamgambo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Feb 28, 2017 10:16Mapigano na mashambulio ya makundi ya wabeba silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati yangali yanaendelea kushuhudiwa.
-
Theresa May: Siasa za Uingereza, US za kuingilia masuala ya nchi nyingine zimefeli
Jan 27, 2017 04:42Waziri Mkuu wa Uingereza amekosoa sera za nchi za Magharibi za kuingilia masuala ya ndani ya nchi zinazojitawala na ametoa wito wa kukomeshwa suala hilo.
-
Wamagharibi: Uwezekano wa kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia ni mkubwa
Jan 07, 2017 23:42Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa kwenye nchi za Magharibi unaonesha kuwa, watu wengi wa nchi hizo wanaamini kwamba Vita vya Tatu vya Dunia vimekaribia na kwamba mapigano makali ya pande zote yanaijongelea dunia hivi sasa.
-
"Yumkini Marekani na Russia zikaingia vitani ndani ya siku 20 zijazo"
Jan 01, 2017 04:30Marekani ipo katika ncha ya kungia kwenye vita na Russia katika kipindi cha siku 20 zijazo.
-
Kuundwa kamati ya mazungumzo ya kitaifa; hatua moja mbele ya kurejesha amani na utulivu Sudan Kusini
Dec 24, 2016 00:16Kuendelea mgogoro nchini Sudan Kusini, kuongezeka machafuko na wahanga wa machafuko hayo kwa upande mmoja, na kwa upande mwingine, kufanyika juhudi kieneo na kimataifa za kukomesha mauaji nchini humo, vimemfanya Rais Salva Kiir achukue hatua ya kuunda "Kamati ya Mazungumzo ya Kitaifa" kwa lengo la kuhitimisha mgogoro huo.
-
Iran kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma ya kinyama ya Saudia nchini Yemen
Oct 11, 2016 23:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuwapokea na kuwatibu waliojeruhiwa hivi karibuni katika hujuma ya kikatili ya ndege za kivita za Saudia dhidi ya watu waliokuwa wamekusanyika katika mazishi nchini Yemen.
-
Watoto ni waathirika wa hujuma ya Saudia na waitifaki wake nchini Yemen
Oct 06, 2016 04:06Hujuma za ndege za kivita za Saudi Arabia na waitifake wake Yemen, mbali na kuwaua maelfu ya raia wa nchi hiyo na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola kwa miundo mbinu ya nchi hiyo, pia zimesababisha zaidi ya watoto milioni mbili Wayemen kukosa masomo.
-
Amani na Usalama katika Mtazamo wa Uislamu
Sep 25, 2016 09:28Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia usalama na amani katika mtazamo wa Uislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani.