-
Mashirika 130 yataka Canada iache kuhujumu taasisi za Kiislamu
Jun 26, 2021 12:38Huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini Canada, serikali ya nchi hiyo imekuja na mpango wa kuyafanyia 'ukaguzi' mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Kiislamu nchini humo.
-
Waislamu Canada wahofishwa na kuongezeka mashambulio ya chuki dhidi yao
Jun 15, 2021 03:52Waislamu nchini Canada wamesema kuwa wana wasiwasi na kuongezeka mashambulizi na vitendo vya chuki dhidi yao.
-
Wapinzani wa utawala wa kijeshi Myanmar watangaza mshikamano na Waislamu wa Rohingya
Jun 14, 2021 08:17Wapinzani wa utawala wa kijeshi nchini Myanmar wameanzisha kampuni ya kuonyesha mshikamano wao na Waislamu wa jamii ya Rogingya wanaodhulumiwa na kukandamizwa nchini humo.
-
Maelfu waandamana kulaani 'Islamophobia' nchini Canada
Jun 12, 2021 13:10Maelfu ya watu wamefanya maandamano makubwa nchini Canada kulaani vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, sambamba na kuonesha mshikamano wao na familia moja ya Kiislamu iliyouawa hivi karibuni katika mji wa London jimboni Ontario nchini humo.
-
Amnesty: China imewafanyia Waislamu wa Uighur 'jinai dhidi ya binadamu'
Jun 11, 2021 07:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Waislamu wa jamii ya Uighur nchini China wanakabiliwa na vitendo vya mateso na unyanyasi unaoelezwa kuwa umekuwa ukifanywa na serikali ya Beijing, na kusisitiza kuwa dhulma hizo zina uzito wa 'jinai dhidi ya binadamu.'
-
Waislamu Burundi wamjia juu waziri aliyeivunjiwa heshima adhana
Jun 10, 2021 13:17Waislamu Nchini Burundi wamemkosoa vikali waziri mmoja nchini humo kwa kuivunjia heshima Adhana, ambao ni mwito kwa Waislamu kwenda kutekeleza ibada ya Swala, moja ya nguzo muhimu za dini hiyo tukufu.
-
Mauaji ya familia ya Kiislamu nchini Canada, nembo ya Islamophobia katika nchi za Magharibi
Jun 09, 2021 11:30Kufuatia mauaji ya kikatili ya familia moja ya Kiislamu kwenye mji wa London katika jimbo la Ontario nchini Canada, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Justin Trudeau amesema anahidi kuwa, atachukua hatua zaidi za kukabiliana na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia.
-
Wanaharakati: UN itambue mauaji ya Mashia Afghanistan kuwa ni mauaji ya kimbari
May 20, 2021 02:35Wanaharakati wa haki za binadamu na utamaduni nchini Afghanistan wameutaka Umoja wa Mataifa utambue rasmi mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan katika miaka ya hivi karibuni kuwa ni mauaji ya kimbari.
-
30 wahukumiwa kifo Congo DR kwa kuhusika na ghasia za siku ya Idul Fitri
May 15, 2021 14:25Watu thelathini wamehukumiwa kifo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kesi isiyosikilizwa katika siku moja tu, kwa kupatikana na hatia ya kuhusika na ghasia dhidi ya polisi wakati wa ibada ya Swala ya Idul Fitri ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani katika mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Kupasishwa marufuku ya hijabu kwa wafanyakazi wa serikali katika Bunge la Ujerumani
May 12, 2021 00:44Baraza la Juu la Bunge la Ujerumani (Bundesrat) limepasisha sheria inayowapiga marufuku wafanyakazi wa serikali na polisi kuvaa vazi la hijabu.