-
Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India
Mar 03, 2020 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali ukatili na ghasia zilizoratibiwa dhidi ya Waislamu nchini India, akisisitiza kuwa njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo ni kufuata sheria na mazungumzo ya amani.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (3)+SAUTI
Feb 17, 2020 10:12Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu.
-
Ethiopia yatambua rasmi Baraza Kuu la Waislamu baada ya juhudi za miaka 60
Jan 26, 2020 03:40Baada ya juhudi za miaka 60 hatimaye Baraza Kuu la Waislamu nchini Ethiopia limetambuliwa rasmi na serikali ya Addis Ababa, suala ambalo limetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni mafanikio ya kihistoria kwa wafuasi wa dini hiyo nchini Ethiopia.
-
Middle East Eye: Saudia inazidisha mashaka ya Waislamu wa Rohingya
Jan 07, 2020 23:18Kituo cha habari cha Middle East Eye kimeripoti kuwa, Saudi Arabia inazidisha mashaka na masaibu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Myanmar kwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafukuza Warohingya wanaofanya kazi nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa wailaani Myanmar kwa kuwandamiza Waislamu Warohingya
Dec 28, 2019 23:23Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio ambalo linailaani vikali Myanmar kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na jamii za wengine waliowachache katika nchi hiyo ya Mabuddha.
-
Mahathir Mohammad.: Malaysia itawapa hifadhi wakimbizi wa Uyghur kutoka China
Dec 27, 2019 09:14Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema kuwa nchi yake haitawarejesha makwao Waislamu wa jamii ya Uyghur kutoka China iwapo wataomba hifadhi nchini humo.
-
Maandamano yashtadi nchini India kufuatia kupitishwa muswada ulio dhidi ya Waislamu
Dec 14, 2019 21:42Maandamano ya kupinga muswada wa uraia nchini India na ambao uko dhidi ya Waislamu, yameendelea kupanua wigo wake ambapo baada ya majimbo ya kaskazini mashariki, pia yamesambaa katika maeneo mengine kama vile Uttar Pradesh, Bihar na New Delhi.
-
Waislamu milioni 27 wameuawa katika 'vita dhidi ya ugaidi' vya Marekani
Nov 22, 2019 10:38Msomi na mwanafikra mashuhuri wa Marekani amesema zaidi ya Waislamu milioni 27 wameuawa kutokana na vita vilivyoibuliwa na Marekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi, tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 hadi sasa.
-
Waislamu ni waathirika wakuu wa ugaidi duniani
Nov 22, 2019 03:39Asasi moja ya Ufaransa imesema Waislamu ni waathirika wakuu wa ugaidi duniani na hilo ni jambo ambalo linapaswa kufahamika vyema barani Ulaya.
-
Jumuiya ya Kiislamu yasisitizia umoja na kuwa macho Waislamu
Nov 17, 2019 04:05Viongozi wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali duniani walioshiriki mkutano wa 12 wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu hapa Tehran wamesisitizia udharura wa kudumishwa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani.