Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • UN yataka kufunguliwa kesi ya jinai zinazofanywa dhidi ya Waislamu Myanmar

    UN yataka kufunguliwa kesi ya jinai zinazofanywa dhidi ya Waislamu Myanmar

    Oct 24, 2019 23:21

    Maafisa wawili wa Umoja wa Mataifa wametoa wito wa kufunguliwa kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ili kushughulikia jinai zinazofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini humo.

  • India yazidisha hatua kali za usalama kabla ya kuhitimishwa kesi ya Msikiti wa Babri

    India yazidisha hatua kali za usalama kabla ya kuhitimishwa kesi ya Msikiti wa Babri

    Oct 15, 2019 00:35

    Serikali ya India imezidisha hatua kali za usalama katika mji wa Ayodhya, jimbo la Uttar Pradesh huko kaskazini mwa nchi hiyo kabla ya kutolewa uamuzi muhimu sana wa Mahaka Kuu ya nchi hiyo juu ya mzozo wa eneo la Msikiti wa Babri linalogombaniwa baina ya Waislamu na Wahindu.

  • Waislamu Tanzania wajiandaa kufanya Maulidi ya Mtume Muhammad SAW kwa hamasa kubwa zaidi mwaka huu + Sauti

    Waislamu Tanzania wajiandaa kufanya Maulidi ya Mtume Muhammad SAW kwa hamasa kubwa zaidi mwaka huu + Sauti

    Oct 07, 2019 06:03

    Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wametoa ufafanuzi kuhusu maandalizi ya Maulidi ya Kitaifa yanavyoendelea jijini Mwanza na wamejipanga kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kuelekea maadhimisho hayo ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW. Ammar Dachi na taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Zarif: Iwapo Marekani inataka mazungumzo na Iran lazima itekeleze ahadi zake

    Zarif: Iwapo Marekani inataka mazungumzo na Iran lazima itekeleze ahadi zake

    Sep 29, 2019 03:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran haitaacha mustakabali wa uchumi na wananchi wake utegemee mkutano wa kimaonyesho na Rais Donald Trump wa Marekani. Ameongeza kuwa, kama ambavyo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alivyosema, 'iwapo Mareknai inataka kufanya mazungumzo na Iran, ni lazima kwanza itekeleze ahadi zake na isitishe vikwazo.'

  • Hujuma dhidi ya Waislamu zimeongeza nchini Marekani katika kipindi cha uongozi wa Trump

    Hujuma dhidi ya Waislamu zimeongeza nchini Marekani katika kipindi cha uongozi wa Trump

    Sep 18, 2019 03:18

    Baraza la Uhusiano wa Kiislamu la Marekani limetangaza kuwa, hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu nchini humo yameongezeka mno katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump.

  • Independent: India inafanya mikakati ya kuwapokonya uraia mamilioni ya Waislamu

    Independent: India inafanya mikakati ya kuwapokonya uraia mamilioni ya Waislamu

    Aug 19, 2019 22:05

    Gazeti la Independent linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kwamba, serikali ya India inapanga mikakati ya kuwapokonya uraia watu wasiopungua milioni nne aghlabu yao wakiwa ni Waislamu na kuwatambua kuwa ni wahajiri wa kigeni.

  • Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki

    Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki

    Aug 13, 2019 02:59

    Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu

    Aug 11, 2019 06:22

    Marasimu ya kujibari na kujiweka mbalii na washirikina yalifanyika jana Jumamosi katika jangwa la Arafa kwa kusomwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu na Waislamu wote.

  • Kupigwa marufuku shughuli za Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na taathira zake

    Kupigwa marufuku shughuli za Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na taathira zake

    Jul 29, 2019 05:32

    Wakati Waislamu wa Nigeria wakiendeleza jitihada za kuhakikisha kwamba kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anaachiwa huru, Rais wa nchi hiyo amepiga marufuku shughuli zote za harakati hiyo.

  • Baraza la Kiislamu nchini Ujerumani lalalamikia miamala mibaya ya polisi dhidi ya Waislamu

    Baraza la Kiislamu nchini Ujerumani lalalamikia miamala mibaya ya polisi dhidi ya Waislamu

    Jun 06, 2019 22:37

    Baraza Kuu la Waislamu nchini Ujerumani limekosoa mimala ya ukandamizaji ya maafisa wa polisi wa nchi hiyo kuwalenga Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS