-
Rais wa Ufilipino aidhinisha kuundwa eneo lenye mamlaka ya ndani la Waislamu nchini humo
Jul 27, 2018 03:15Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino amesaini muswada wa sheria inayoruhusu kuundwa eneo jipya lenye mamlaka ya ndani la Waislamu kusini mwa nchi hiyo.
-
Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa Myanmar
Jul 21, 2018 02:57Shirika moja la kimataifa la madaktari wataalamu limesema limekusanya ushahidi unaoonyesha wazi kuwa Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa nchini Myanmar.
-
Waislamu wa Bosnia wazika mabaki ya wenzao 35 waliouawa Srebrenica
Jul 11, 2018 09:15Maelfu ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina wamekusanyika hii leo katika mji wa Srebrenica kuadhimisha miaka 23, tangu yafanyike mauaji mabaya zaidi ya umati katika nchi hiyo ya Ulaya, baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
-
Serikali ya Uswisi yakataa pendekezo la kupiga marufuku burqa
Jun 27, 2018 09:15Serikali ya Uswisi imepinga kampeni zinazofanyika mashinani za kushinikiza marufuku ya nchi nzima ya vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Waislamu Afrika Kusini walaani mauaji ya kikatili msikitini
Jun 15, 2018 11:07Baraza la Kisheria la Waislamu la Afrika Kusini (MJC) limelaani vikali shambulizi la kikatili lililotokea Alhamisi katika eneo la Malmesbury karibu na mji wa Cape Town, na kusababisha vifo vya waumini wawili wa Kiislamu na wengine wawili kujeruhiwa.
-
Waislamu Austria walaani azma ya serikali ya kutaka kufunga misikiti nchini
Jun 11, 2018 02:46Waislamu nchini Austria wamekosoa vikali mpango wa serikali wa kufunga misikiti saba na kuwatimua makumi ya Maimamu na familia zao kutokana na kile inachodai ni mkakati wa kuzuia 'Uislamu wa kisiasa' katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 37 + Sauti
Jun 03, 2018 10:53Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 37 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Kuna hatari mamilioni ya Waislamu India wakafikwa na maafa ya Waislamu wa Myanmar
May 31, 2018 20:23Zaidi ya watu milioni 7 wakiwemo wanawake milioni mbili na laki tisa walioolewa wametakiwa kuthibitisha uraia wao nchini India.
-
Wanawake Waislamu Denmark wapigwa marufuku kuvaa niqabu
May 31, 2018 20:22Serikali ya Denmark imepiga marufuku vazi la burqa au niqabu linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
-
Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo
May 29, 2018 03:47Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Ufaransa kwa namna inavyoamiliana na Waislamu na inavyokabiliana na ugaidi na athari za hatua zake hizo ambazo zinatia wasiwasi kwa kutishia uhuru wa mtu binafsi.