-
Upinzani Uganda waijia juu serikali kwa mauaji ya viongozi wa Kiislamu
May 04, 2018 02:54Viongozi wa upinzani nchini Uganda wameitaka serikali ya Kampala kutoa ripoti kuhusu mauaji na kamatakamata dhidi ya viongozi na wahubiri wa Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Viongozi wa Kiislamu Ufaransa wakosoa wito wa 'kufutwa' baadhi ya aya za Qurani
Apr 28, 2018 03:26Viongozi wa Kiislamu nchini Ufaransa wamekosoa vikali ombi lililowasilishwa na shakhsia 300 wa Ufaransa waliotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati.
-
Siasa za Trump zaendelea kuchochea ukati dhidi ya Waislamu Marekani
Apr 24, 2018 22:02Uchunguzi uliofanyika hivi karibuni umeonesha kuwa, kuongezeka kwa ukatili na jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Waislamu nchini Marekani kuna mfungamano na siasa za Rais wa sasa wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Waislamu Ufaransa walaani makala iliyopotosha Qur'ani tukufu
Apr 24, 2018 11:59Waislamu nchini Ufaransa wamelaani vikali kitendo cha kuchapishwa makala iliyovunjia heshima na kupotosha kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini humo.
-
Ripoti: Ofisi ya John Bolton imehusika kueneza habari za uongo dhidi ya Waislamu
Apr 24, 2018 03:00Televisheni moja ya nchini Marekani imetangaza kwamba, ofisi ya John R. Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa ikulu ya Marekani White House, ndiyo inayohusika kueneza habari zisizo na ukweli dhidi ya Waislamu duniani.
-
Kushadidi vitendo vya ukandamizaji vya polisi ya Nigeria dhidi ya Waislamu
Apr 18, 2018 03:31Polisi nchini Nigeria imeshadidisha vitendo vya ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo kufuatia kuongezeka maandamano na matakwa ya kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Waislamu Uganda watakiwa kushikamana na dini yao + Sauti
Apr 15, 2018 02:04Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wametakiwa kushikamana na dini yao kama njia ya kuokoka duniani na Akhera.
-
Magaidi wa Boko Haram wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea 2013
Apr 13, 2018 09:40Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea mwaka 2013.
-
Ripoti: Waislamu nchini Marekani wanafungwa vifungo virefu kuliko wengine
Apr 06, 2018 23:22Utafiti mpya umebainisha kuwa, watuhumiwa wa uhalifu Waislamu au wenye majina ya Kiislamu nchini Marekani wanahukumiwa vifungo virefu zaidi na habari hizo kuvaliwa njuga na vyombo vya habari, kuliko watuhumiwa wasiokuwa Waislamu.
-
Jumapili, Machi 11, 2018
Mar 10, 2018 23:59Leo ni Jumapili tarehe 22 Jamadith-Thani 1439 Hijria, sawa na Machi 11, 2018 Miladia.