Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Polisi yalaumiwa kwa kutozuia hujuma dhidi ya msikiti na biashara za Waislamu Sri-Lanka

    Polisi yalaumiwa kwa kutozuia hujuma dhidi ya msikiti na biashara za Waislamu Sri-Lanka

    Mar 06, 2018 04:18

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Sri-Lanka yameikosoa vikali polisi ya nchi hiyo kwa kupuuza mashambulizi dhidi ya msikiti na maduka ya Waislamu yanayofanywa na Mabudha katika wilaya ya Kandy.

  • MSF: Waislamu wa Rohingya wangali wanamiminika Bangladesh

    MSF: Waislamu wa Rohingya wangali wanamiminika Bangladesh

    Feb 20, 2018 23:42

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imetangaza kuwa, mamia ya wakimbizi wa jamii ya Waislamu wa Rohingya wanaokimbia ukatili na mauaji nchini Myanmar wangali wanamiminika katika nchi jirani ya Bangladesh na kwamba mgogoro wa Rohingya bado unaendelea.

  • Kijana mwenye chuki na Uislamu nchini Uingereza awatishia kifo Waislamu

    Kijana mwenye chuki na Uislamu nchini Uingereza awatishia kifo Waislamu

    Feb 20, 2018 01:02

    Ikiwa ni katika kuendelea chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) nchini Uingereza na hujuma dhidi ya misikiti na waumini wa Kiislamu wanaotekeleza ibada ya Sala, kijana mmoja wa nchi hiyo ametishia kwamba atawaua Waislamu.

  • Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Feb 16, 2018 10:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.

  • Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Feb 16, 2018 10:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.

  • Mgombea Mwislamu wa umeya, Marekani atishiwa kifo

    Mgombea Mwislamu wa umeya, Marekani atishiwa kifo

    Feb 15, 2018 12:35

    Mgombea wa kike anayewania kuwa meya wa kwanza Mwislamu nchini Marekani amesema ametishiwa kuuawa kama ataendelea kuwa mgombea katika kinyang'anyiro hicho.

  • Ubaguzi wa vikosi vya usalama vya Ufaransa dhidi ya Waislamu na Wafaransa wenye asili ya Afrika

    Ubaguzi wa vikosi vya usalama vya Ufaransa dhidi ya Waislamu na Wafaransa wenye asili ya Afrika

    Jan 27, 2018 04:33

    Vikosi vya usalama vya Ufaransa vimekuwa vikiwabagua Waislamu na raia wa nchi hiyo wenye asili ya Afrika ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za vikosi hivyo za kuwabagua raia wa nchi hiyo ya barani Ulaya.

  • Msichana mdogo Muislamu ashambuliwa kutokana na Hijabu yake nchini Canada

    Msichana mdogo Muislamu ashambuliwa kutokana na Hijabu yake nchini Canada

    Jan 13, 2018 04:18

    Polisi wa mjini Toronto Canada wametangaza habari ya kushambuliwa binti mmoja mdogo Muislamu kutokana na kuvaa Hijabu.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 23 na sauti

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 23 na sauti

    Jan 11, 2018 07:11

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 23 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel

    Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel

    Jan 01, 2018 00:51

    Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, njia pekee ya Wapalestina na Waislamu kukabiliana na utawala haramu wa Israel na Marekani ni muqawama na mapambano dhidi ya tawala hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS