-
Kituo cha Kiislamu nchini Sweden chapigwa bomu na magaidi wanaopinga Uislamu
Dec 26, 2017 23:11Duru za habari nchini Sweden zimetangaza kuwa, kituo cha Kiislamu nchini humo kimeshambuliwa kwa bomu la kutengenezwa kwa mkono.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2
Dec 26, 2017 13:16Hatua ya Rais Donald Tump wa Marekani ya kuitambua Quds (Baitul Muqaddas au Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine imeuweka mji huo mtakatifu kwa dini zote za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu katika kurasa za mbele za magazeti na safu ya kwanza ya habari za vyombo vya mawasiliano ya umma kote duniani.
-
Haniya: Quds ni Mji Mkuu wa Palestina na Waislamu wote
Dec 20, 2017 04:43Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema kuwa, "Quds Tukuf (Jerusalem) ni mji mmoja usioweza kugawanywa pande mbili za Mashariki na Magharibi na ni mji mkuu wa Wapalaestina na Waislamu wote."
-
Hizbullah ya Lebanon: Marekani ni adui mkuu wa Waarabu na Waislamu
Dec 18, 2017 11:04Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, hii leo ulimwengu umefahamu na kudiriki kwamba, dola la Marekani ndio adui mkuu wa Waarabu na Waislamu.
-
Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe
Dec 09, 2017 04:03Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa mwito wa kuheshimwa haki za jamii ya Waislamu walio wachache nchini Ugiriki.
-
Viongozi wa Kiislamu Kenya walaani hatua ya Trump dhidi ya Quds
Dec 08, 2017 23:24Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wamelaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji wa Baitul Muqaddas wa Palestina kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni
Dec 06, 2017 22:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa Waiskamu kuwa macho na njama za maadui.
-
UN: Serikali ya Myanmar inafanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu
Dec 06, 2017 01:23Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa uhalifu unaofanywa na Mabudha nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya ni mauaji ya kimbari.
-
UN yamkosoa Rais Trump wa Marekani kwa kueneza chuki dhidi ya Uislamu
Dec 02, 2017 00:43Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra'ad Al Hussein amekosoa hatua ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump aliyesambaza taswira zilizo na chuki dhidi ya Uislamu kupitia akaunti yake ya Twitter.
-
Papa Francis akataa kuwataja 'Waislamu wa Rohingya' akiwa Myanmar
Nov 28, 2017 12:48Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekataa kuwataja Waisalmu wa Rohingya alipohutubu leo akiwa Myanmar pamoja na kuwa jamii hiyo ya waliowachache inakabiliwa na maangamizi ya kimbari nchini humo.