-
'Iran ni nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa taifa la Palestina'
Nov 10, 2017 23:43Msemaji wa Baraza la Maulamaa wa Palestina nchini Lebanon amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo nchi pekee inayounga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina na kwamba baraza hilo liko tayari kuungana na nchi zote za Kiarabu na Kiislamu kwa ajili ya ukombozi wa Palestina:
-
Kuendelea uchukuaji hatua za kikatili na za ukandamizaji dhidi ya Waislamu Nigeria
Nov 07, 2017 23:18Katika muendelezo wa hatua kandamizi zinazochukuliwa dhidi ya Waislamu wa Nigeria, watu wasiopungua watatu wameuliwa baada ya polisi kuwafyatulia risasi wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu
Nov 05, 2017 23:15Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
-
Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya
Oct 29, 2017 12:32Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kiislamu nchini Iran ameeleza kusikitishwa kwake na hali mbaya inayozidi kuwakabili Waislamu wa jamii ya Rohingya huku akiwataka Waislamu kote duniani kutofumbia macho jinai wazofanyia ndugu zao nchini Myanmar.
-
Wanawake Waislamu Quebec, Canada wapigwa marufuku kuvaa niqab
Oct 19, 2017 04:19Jimbo la Quebec nchini Canada limepaisha sheria za kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa Hijabu yenye kufunika uso mzima maarufu kama niqab wakiwa wanatumia huduma za umma.
-
Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya
Oct 13, 2017 10:49Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.
-
Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa maji katika ajali ya boti
Oct 09, 2017 04:38Kwa akali Waislamu 12 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.
-
HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar
Oct 05, 2017 04:26Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limesema jeshi la Myanmar linawaua kiholela na kuwanajisi Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.
-
Waislamu wa Shia kote duniani waadhimisha Siku ya Tasu'a
Sep 30, 2017 04:48Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na Waislamu wa Kishia kote duniani katika maadhimisho ya Siku ya Tasu'a, wakifanya maombelezo ya kukumbuka mapambano ya Karbala yaliyopelekea kuuawa shahidi Imam Hussein AS.
-
Waislamu 14 wa Rohingya wafa maji baada ya boti yao kuzama
Sep 28, 2017 10:53Kwa akali Waislamu 14 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.