-
UNHCR: Misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya Waislamu Warohingya
Sep 26, 2017 12:31Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuongeza mara mbili juhudi za kuwasaidia wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya umati Myanmar na kupata hifadhi nchini Bangladesh.
-
UNHCR: Waislamu Warohingya wa Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu
Sep 25, 2017 01:10Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amesema kuwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchini Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu na kwamba, Waislamu hao wamevumilia mateso na madhara mengi ya kisaikolojia.
-
Ongezeko la malalamiko ya Waislamu wa Ulaya juu ya ubaguzi na miamala mibaya
Sep 22, 2017 04:08Matokeo mapya ya uchunguzi wa Shirika la European Union Agency for Fundamental Rights (FRA) unaonyesha kwamba, idadi ya Waislamu ambao wanabaguliwa na kufanyiwa miamala mibaya katika jamii ya Ulaya, imeongezeka sana.
-
Kuhusu Waislamu wa Rohingya, Suu Kyi ni mdanganyifu
Sep 20, 2017 21:57Wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya wanaoishi makambini nchini Bangladesh wamesema hotuba aliyotoa Aun San Suu Kyi Waziri wa Mambo ya Nje na ambaye pia ni Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar ni ya udanganyifu.
-
HRW: Jeshi la Myanmar liadhibiwe kwa kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu
Sep 18, 2017 09:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetaka vikwazo vikali vya kimataifa viwekewe Jeshi la Myanmar kutokana na kampeni yake ya kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Mateso ya Waislamu wa Rohingya katika picha
Sep 17, 2017 06:31Hizi hapa chini ni baadhi ya picha zinazoonesha sehemu ndogo to ya matezo makubwa yanayowatesa Waislamu wa jamii ya Rohingya kutokana na ukatili na unyama wa kuchupa mipaka wanaofanyiwa na mabudha
-
FAO: Waislamu laki moja Warohingya walioko Bangladesh wanahitajia msaada wa haraka wa chakula
Sep 15, 2017 00:03Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, Waislamu laki moja wa jamii ya Rohingya waliowasili nchini Bangladesh wanahitajia msaada wa haraka wa chakula.
-
UN kusaidia Waislamu Warohingya waliokimbia Myanmar
Sep 13, 2017 03:18Idadi ya Waislamu wa jamii Warohingya ambao wanakimbia mateso na mauaji huko Myanmar inaongezeka kila uchao katika hali ambayo, mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau wao wanaendelea kuhakikisha wanafikisha misaada ya dharura kwa wakimbizi hao ambao wengi wao ni Waislamu.
-
Waislamu 300,000 watazamiwa kukimbia mauaji nchini Myanmar
Sep 07, 2017 03:11Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa Waislamu zaidi ya 300,000 wanatazamiwa kukimbia mauaji na dhulma wanazotendewa nchini Myanmar na kuelekea katika nchi jirani ya Bangladesh.
-
BHRN: Sio Waislamu wa Rakhine tu wanaouawa Myanmar
Sep 05, 2017 23:19Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Myanmar limetoa ripoti iliyofichua kuwa Waislamu katika maeneo yote ya nchi hiyo wanauawa na kuhujumiwa na wanajeshi wa nchi hiyo na sio wa kabila la Rohingya tu katika mkoa wa Rakhine.