-
Waislamu Marekani waishtaki FBI kwa orodha ya 'siri' ya kutotumia ndege
Sep 19, 2023 13:38Kundi la kuwatetea Waislamu nchini Marekani limeishtaki Idara ya Upelelezi, FBI, katika jaribio la kukomesha utumiaji wa orodha ya siri ambayo aghalabu inalenga Waislamu pekee kwa uchunguzi wanaposafiri kwa ndege.
-
Raisi: Umma wa Kiislamu ulioungana, ni kizuizi kwa ubeberu wa dunia
Sep 01, 2023 03:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ulimwengu wa Kiislamu ambao una umoja na mshikamano ndicho kizingiti kikubwa zaidi kwa ubeberu wa dunia.
-
Hasira zatanda India baada ya mwalimu kuwataka watoto wamchape vibao mwanafunzi Muislamu
Aug 27, 2023 13:32Wimbi la hasira limeibuka nchini India baada ya kusambaa kwenye mitandao ya kijamii vidio inayomuonyesha mwalimu wa skuli moja katika jimbo la Uttar Pradesh akimdhalilisha mwanafunzi Muislamu darasani kwa kuwataka wanafunzi wenzake wamchape vibao na kutaka pia afukuzwe skulini hapo kwa sababu ya dini yake.
-
Waislamu waghadhabishwa na kuchomwa moto Qur'ani Uholanzi
Aug 19, 2023 10:28Waislamu katika kona zote za dunia wamehamakishwa na kitendo kingine cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, mara hii katika mji wa The Hague nchini Uholanzi.
-
Wasiwasi wa Waislamu Ujerumani wa kuongezeka hujuma dhidi ya misikiti
Aug 17, 2023 07:24Mamilioni ya Waislamu nchini Ujerumani wana wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa wimbi la chuki dhidi ya Uislamu na hujuma na mashambulio dhidi ya misikiti nchini humo.
-
Baada ya kushindwa kijeshi, sasa Wamagharibi wameanzisha vita vya kiitikadi dhidi ya Waislamu
Aug 05, 2023 11:36Washiriki wa Kongamano la Kielimu na Kiutafiti la "Iraq al Qur'an" wamesisitiza kuwa, baada ya kufeli na kushindwa kijeshi huko Iraq, Syria, Palestina na Lebanon, sasa madola ya kibeberu duniani yameamua kuanzisha vita vya kiitikadi na kiutamaduni dhidi ya Waislamu.
-
"Umoja ndiyo njia bora ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu"
Jul 09, 2023 10:53Rais wa Uturuki amesema kuna haja kwa umma wa Kiislamu kuungana na kuwa na mshikamano, ili uweze kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vilivyoshtadi katika nchi za Magharibi.
-
Iran yayaasa mataifa ya Waislamu kuungana kuzima njama za maadui
Jun 30, 2023 03:25Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran ametoa mwito kwa mataifa ya Kiislamu kuwa na umoja na mshikamano mkabala wa njama za maadui na lobi za Kizayuni, zenye azma ya kuibua mifarakano na ukosefu wa uthabiti katika nchi hizo.
-
Rais wa Iran atoa mkono wa baraka za Idi kwa wakuu wa nchi zote za Waislamu
Jun 29, 2023 02:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu na pongezi za Idi viongozi mbalimbali wa nchi za Waislamuu kwa mnasaba wa maadhimisho ya sikukuu ya Idul Adh'ha.
-
Kupanuka zaidi mpasuko wa kidini nchini India
Jun 16, 2023 02:28Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni wa Kituo cha Utafiti wa Jamii Zinazoendelea (CSDS) huko New Delhi unaonyesha kuwa, sera za Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, zimezidisha mgawanyiko wa kidini nchini humo.