-
Kufichuliwa upeo mpya wa ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Uingereza
Jan 25, 2022 02:27Kadhia ya chuki dhidi ya Uislamu na kubaguliwa Waislamu katika nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza imeshika kasi katika miaka ya hivi karibuni. Chuki hizi dhidi ya Uislamu sasa zimefika hata katika ngazi rasmi za serikali.
-
Serikali ya Uingereza yaagiza uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyefutwa kazi
Jan 24, 2022 12:26Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyesema kwamba alifutwa kazi katika serikali yake kwa sababu ya imani yake ya Kiislamu.
-
Waislamu Afrika Kusini wataka kulindwa turathi za kale Cape Town
Jan 16, 2022 08:05Wanaharakati wa Kiislamu katika wilaya ya Bo-Kaap jijini Cape Town nchini Afrika Kusini wametoa mwito wa kulindwa na kuhifadhiwa turathi na athari za kale hususan za kidini katika eneo hilo ambalo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu.
-
Wito wa Wahindu wa kutekelezwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu waibua hasira
Dec 25, 2021 04:32Video zinazowaonyesha viongozi wa kidini wa Kihindu nchini India wakitoa wito wa mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu zimezua hasira na wito madai ya kuchukuliwa hatua dhidi ya wahusika.
-
Makaburi ya Waislamu Ufaransa yabomolewa na makundi yenye misimamo mikali
Dec 13, 2021 07:29Chuki dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa zinazidi kuongezeka baada ya makaburi ya Waislamu kushambuliwa na makundi yenye misimamo ya kufurutu mpaka.
-
Viongozi wa Kiislamu Kenya: Visa vya kupotezwa washukiwa vimeongezeka
Sep 13, 2021 11:09Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameishutumu serikali kwa kuongezeka kwa visa vya kupotezwa washukiwa wa ugaidi nchini humo.
-
Bunge la Ufaransa lapitisha muswada wa chuki dhidi ya Uislamu
Jul 26, 2021 02:37Bunge la Ufaransa Ijumaa lilipitisha muswada wenye chuki na ulio dhidi ya Uislamu uliopewa jina la eti 'mapambano dhidi ya wanaotaka kujitenga' licha ya kuwepo upinzani wa vyama kadhaa vya mrengo wa kushoto dhidi ya muswada huo.
-
Jamii ya Waislamu wa Canada yametangaza mshikamano na Wacanada asilia
Jul 11, 2021 04:42Maimamu 75 wa misikiti ya Waislamu wa Canada wamekutana na raia asili wa nchi hiyo na kueleza mshikamano wao na jamii hiyo kutokana na kugunduliwa makaburi ya umati ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa katika shule za Wamishonari wa Kikatoliti.
-
Mbunge wa chama cha Leba ataka sheria ya kuwaadhibu wanaomvunjia heshima Mtume (saw)
Jul 11, 2021 04:42Mbunge wa Uingereza ametetea heshima ya Mtume Muhammad (saw) katika hotuba ya kupendeza kwenye Bunge la nchi hiyo, akiangazia mashinikizo ya kiroho na madhara yaliyosababishwa kwa Waislamu ulimwenguni kote kutokana na katuni na picha zinazochapishwa mara kwa mara barani Ulaya zikimvunjia heshima Nabii huyo wa Mwenyezi Mungu.
-
Hilton kujenga hoteli kwenye magofu ya msikiti wa Waislamu wa Uyghur, Xinjiang; CAIR yalaani
Jul 07, 2021 05:55Mpango wa ujenzi wa hoteli ya kifahari ya Hilton kwenye eneo la msikiti wa Waislamu uliobomolewa katika mkoani Xinjiang nchini China umewakasirisha Waislamu na kuzusha malalamiko mengi katika nchi mbalimbali.