-
Shughuli za kijeshi za nyuklia za utawala wa Kizayuni, chanzo cha wasiwasi wa jamii ya kimataifa
Nov 26, 2017 07:21Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema shughuli za nyuklia za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na jamii ya kimataifa kwa ujumla.
-
Iran itaendelea kushirikiana na IAEA, kufungamana na JCPOA
Oct 30, 2017 08:00Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kuna haja Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) uendelee kuwa chombo huru na kisichoegemea upande wowote akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na wakala huo.
-
IAEA: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 29, 2017 15:53Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesema kuwa Iran imefungamana na kutekeleza wajibu na majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA, Majukumu na Matarajio
Sep 12, 2017 07:08Kikao cha Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kilifanyika jana Jumatatu katika makao makuu ya wakala huo mjini Vienna, Austria.
-
IAEA yasisitiza kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Jun 03, 2017 07:51Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umetoa ripoti na kwa mara nyingine umethibitisha kuwa Iran imeheshimu kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
IAEA: Iran inatekeleza ipasavyo makubaliano ya nyuklia
Apr 02, 2016 07:05Kwa mara nyingine tena Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umetoa ithibati kuwa serikali ya Tehran inatekelezwa barabara makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati yake na kundi la 5+1 Julai mwaka jana 2015.