-
UNHCR: Idadi ya wakimbizi wa Syria imevunja rekodi, yapindukia milioni 5
Mar 30, 2017 10:49Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema idadi ya raia wa Syria walioikimbia nchi na kwenda kutafuta hifadhi katika nchi nyingine imepindukia watu milioni 5.
-
Saudia yaitaka UN isimamie bandari ya Yemen baada ya kuua kikatili Wasomali 44
Mar 20, 2017 04:31Muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Yemen umeutaka Umoja wa Mataifa uchukue udhibiti wa bandari ya Hudaydah baada ya helikopta ya Aal-Saud aina ya Apache kufanya shambulio la kikatili dhidi ya boti ya wakimbizi karibu na Lango Bahari la Bab al-Mandab, pwani ya Yemen na kuua makumi ya raia wa Somalia.
-
Hali mbaya ya wakimbizi katika bara la Afrika
Feb 22, 2017 00:36Hali ya maisha katika akthari ya nchi za Kiafrika, imesababisha kuongezeka idadi ya wakimbizi katika bara la Afrika. Hii ni katika hali ambayo, Mpango wa Chakula Duniani (WPF) umetahadharisha kuhusu matatizo ya chakula kwa wakimbizi wa bara hilo.
-
Uganda yaomba msaada wa kimataifa kukabiliana na wimbi la wakimbizi
Feb 16, 2017 12:26Uganda imeomba kupewa msaada wa kimataifa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa wakimbizi wamaomiminika nchini humo.
-
Mahakama Kuu ya Kenya yabatilisha uamuzi wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab
Feb 09, 2017 13:18Mahakama Kuu ya Kenya imebatilisha mpango uliotangazwa na serikali ya nchi hiyo wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab.
-
UN: Wakimbizi 52,000 wa Sudan Kusini wameingia Uganda mwezi jana
Feb 09, 2017 03:56Umoja wa Mataifa umesema wakimbizi 52,000 raia wa Sudan Kusini waliingia nchini Uganda mwezi uliopita pekee wa Januari, kutokana na kuendelea kushuhudiwa mauaji na machafuko katika nchi yao.
-
Wahajiri wengine 120 wa Kiafrika waokolewa katika pwani ya Libya
Feb 05, 2017 10:47Kikosi cha ulinzi katika pwani ya Libya kimearifu kuwa wahajiri zaidi ya 120 wameokolewa majini karibu na bandari ya Tripoli kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
AU: Afrika iko tayari kupokea wakimbizi baada ya US kufunga mipaka yake
Jan 31, 2017 10:31Umoja wa Afrika umesema nchi za Afrika ziko tayari kupokea wakimbizi baada ya Marekani kupasisha sheria tata ya kibaguzi dhidi ya wakimbizi.
-
Ujerumani yakosoa sheria ya kibaguzi ya Marekani
Jan 30, 2017 01:10Kansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuwazuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia Marekani.
-
Wakimbizi wa Afrika huko Israel walalamikia unyanyasaji
Jan 27, 2017 10:21Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika wamefanya maandamano nje ya Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset), kukosoa sera za kikatili na kibaguzi za Tel Aviv dhidi yao.