-
Sisitizo la Mogherini kuhusu msimamo wa Umoja wa Ulaya juu ya kadhia ya Libya
Jan 26, 2017 09:25Federica Mogherini, Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo hauna nia ya kuipa Libya pendekezo lile lile uliloipa Uturuki kuhusiana na wakimbizi.
-
UNICEF: Maelfu ya watoto wakimbizi Waafrika wameingia Ulaya
Jan 14, 2017 03:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema watoto wapatao 25,800 waliwasili nchini Italia mwaka 2016 wakiwa peke yao kwa lengo la kusaka hifadhi barani Ulaya.
-
Raia zaidi ya milioni mbili wa Sudan Kusini wakimbilia nchi jirani
Jan 09, 2017 23:20Raia wengi wa Sudan Kusini wamelazimika kuihama nchi hiyo na kukimbilia katika nchi jirani kutokana na mgogoro wa kisiasa na mauaji yanayoendelea nchini humo.
-
Raia milioni mbili wakimbia Sudan Kusini
Jan 08, 2017 10:22Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya milioni mbili walikimbilia Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwaka jana kwa ajili ya kutafuta hifadhi.
-
Wakimbizi waliorejeshwa Somalia wataka kurejea Dadaab
Dec 27, 2016 11:22Akthari ya wakimbizi wa Kisomali waliorejeshwa kwa khiari nchini Somalia wamesema ahadi walizopewa kabla ya kurejeshwa nchini humo hazijatekelezwa na sasa baadhi yao wanataka kurejea katika kambi ya Dadaab nchini Kenya.
-
UN: Wajiri elfu tano wamekufa maji wakieleka Ulaya mwaka huu 2016
Dec 23, 2016 12:53Shirika la Kimataifa la Uhajiri (IOM) limesema wakimbizi na wahajiri wapatao 5,000 wamepoteza maisha mwaka huu wa 2016 wakijaribu kuingia barani Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.
-
Kuzidi kunyanyaswa wakimbizi barani Ulaya na Marekani
Dec 19, 2016 07:44Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya wageni na wakimbizi vimeshika kasi katika nchi za Ulaya na Marekani kufuatia nchi hizo kuweka sheria kali za kuwadhibiti wahamiaji na wakimbizi wanaokimbilia nchi hizo.
-
Amnesty yaijia juu Algeria kwa kuwatimua wakimbizi wa Mali
Dec 19, 2016 00:54Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Algeria kuunda sheria itakayowapa wakimbizi haki ya kupewa hifadhi sambamba na kuchunguza hatua ya kufukuzwa nchini humo wakimbizi wa Mali mapema mwezi huu.
-
Wakimbizi waliofukuzwa Algeria waingia nchini Niger
Dec 10, 2016 10:26Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika waliofukuzwa nchini Algeria wameingia katika nchi jirani ya Niger.
-
Wahajiri wanne waaga dunia katika Bahari ya Kati (Mediterranean)
Dec 07, 2016 12:15Maafisa husika wa Morocco wameeleza kuwa wahajiri wanne wameaga dunia baada ya kuzama boti yao iliyokuwa imebeba makumi ya wahajiri katika maji ya bahari ya Mediterania kati ya Morocco na Uhispania.