-
Wahajiri wanne waaga dunia katika Bahari ya Kati (Mediterranean)
Dec 07, 2016 12:15Maafisa husika wa Morocco wameeleza kuwa wahajiri wanne wameaga dunia baada ya kuzama boti yao iliyokuwa imebeba makumi ya wahajiri katika maji ya bahari ya Mediterania kati ya Morocco na Uhispania.
-
Wahajiri zaidi ya 200 waokolewa katika bahari ya Mediterania
Dec 03, 2016 23:46Wahajiri zaidi ya 200 wamenusurika kufa maji baada ya kuokolewa katika bahari ya Mediterania.
-
Zaidi ya wahajiri 240 wamefariki dunia siku tatu zilizopita katika bahari ya Mediterenia
Nov 17, 2016 04:00Zaidi ya wahajiri 240 wamefariki dunia au kutoweka katika bahari ya Mediterenia huku wengine 580 wakiokolewa kutoka kwenye boti zilizofurika wahajiri hao haramu.
-
Kenya yaakhirisha tarehe ya kufunga kambi ya Dadaab
Nov 16, 2016 10:16Kenya imerefusha muda wa kuwarejesha makwao wakimbizi wa Somalia walioko katika kambi ya Dadaab iliyoko kaskazini mashariki mwa nchi, ambayo ilitazamiwa kufungwa kikamilifu kufikia mwishoni mwa mwezi huu.
-
Wanaharakati kadhaa wa kijamii wakamatwa DRC
Oct 26, 2016 11:49Wanaharakati kadhaa wa masuala ya kijamii wametiwa mbaroni huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kutuma barua kwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kulalamikia makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya serikali na baadhi ya wapinzani nchini humo.
-
UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia
Oct 04, 2016 04:32Umoja wa Mataifa umesema robo ya wakimbizi wa Kisomali wanaoishi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya wametangaza utayarifu wao wa kurejea nchini kwao Somalia karibuni hivi.
-
UNHCR imewarejesha wakimbizi zaidi ya 30,000 wa Somalia kutoka Kenya
Sep 30, 2016 04:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema kuanzia mwezi Desemba mwaka 2014 wakimbizi zaidi ya elfu 30 wa Somalia wamerejeshwa kwa hiari katika nchi yao kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
UN yatahadharisha kuhusu kushindwa kusoma watoto wakimbizi
Sep 15, 2016 11:55Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetahadharisha kuhusu kushindwa kwenda shule watoto wakimbizi.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya 600 wafukuzwa Kongo
Sep 13, 2016 23:01Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimearifu kuhusu kufukuzwa wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya 600 huko mashariki kaskazini mwa Kongo.
-
Wahajiri waendelea kuokolewa majini katika bahari ya Mediterania
Sep 12, 2016 02:10Mshirika ya misaada ya kibinadamu yameripoti kuwa juma la wahajiri 700 wamenusurika kifo baada ya kuopolewa katika bahari ya Mediterania.