Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbizi

  • UN yaikosoa Kenya kwa kupanga kufunga kambi za wakimbizi

    UN yaikosoa Kenya kwa kupanga kufunga kambi za wakimbizi

    May 10, 2016 02:28

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kufikiria upya mpango wake wa kufunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma.

  • Kenya kufunga kambi za wakimbizi kutokana na sababu za kiusalama

    Kenya kufunga kambi za wakimbizi kutokana na sababu za kiusalama

    May 06, 2016 08:48

    Kenya imesema inatathmini kufunga kambi zote za wakimbizi nchini humo zikiwemo za Dadaab na Kakuma zenye idadi kubwa ya raia wa Somalia hivi karibuni.

  • Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina

    Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina

    May 05, 2016 00:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameeleza kutiwa uchungu na suala la hatima ya wakimbizi wa Palestina wapatao milioni 5.2, ambalo halijapatiwa suluhu kwa muda mrefu.

  • Afrika Kusini na Zimbabwe zatimua raia 200 wa Msumbiji

    Afrika Kusini na Zimbabwe zatimua raia 200 wa Msumbiji

    May 03, 2016 23:53

    Afrika Kusini na Zimbabwe zimewarejesha nyumbani raia 197 wa Msumbiji. Hayo yamesemwa na Idhaa ya Taifa ya Msumbuji.

  • Nchi za Ulaya haziwasaidii wakimbizi wanaozama baharani

    Nchi za Ulaya haziwasaidii wakimbizi wanaozama baharani

    Apr 26, 2016 22:59

    Nchi za Ulaya hazijachukua hatua za kutosha kuwanusuru wakimbizi wanaozama baharini wakijaribu kufika barani Ulaya kwa njia hatari za baharini.

  • Mfuko wa UN wa kuwasaidia wakimbizi wa Sudan Kusini wakauka

    Mfuko wa UN wa kuwasaidia wakimbizi wa Sudan Kusini wakauka

    Apr 26, 2016 03:49

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa unakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kuwasaidia maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini na haswa ambao wamekimbilia nchi jirani ya Sudan.

  • Faili la kuchunguza hali ya Burundi lafunguliwa katika mahakama ya ICC

    Faili la kuchunguza hali ya Burundi lafunguliwa katika mahakama ya ICC

    Apr 25, 2016 10:36

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imefungua faili maalumu la kufuatilia hali ya kisiasa na kiusalama ya Burundi.

  • UNHCR: Wananchi wa Burundi wanazidi kuikimbia nchi yao

    UNHCR: Wananchi wa Burundi wanazidi kuikimbia nchi yao

    Apr 22, 2016 23:51

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi (UNHCR), limetangaza kuwa idadi ya wakimbizi wa Burundi wanaoomba hifadhi nchi jirani inaongezeka na sasa imefikia 260,000.

  • UN yathibitisha, mamia ya wahajiri wameghariki pwani ya Libya

    UN yathibitisha, mamia ya wahajiri wameghariki pwani ya Libya

    Apr 21, 2016 02:44

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa, mamia ya wahamiaji haramu wamezama katika maji ya ya Libya baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini.

  • Ujerumaini kufukuza wakimbizi zaidi

    Ujerumaini kufukuza wakimbizi zaidi

    Apr 09, 2016 22:36

    Mratibu wa masuala ya wakimbizi wa serikali ya Ujerumaini amesema kuwa, nchi hiyo inapaswa kuongeza idadi ya wakimbizi inaowarudisha makwao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS