-
NATO kupanua operesheni za kukabiliana na wakimbizi
Mar 07, 2016 12:46Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Jens Stoltenberg amesema kuwa jumuiya hiyo itapanua zaidi operesheni zake katika maji ya karibu na nchi za Ugiriki na Uturuki ili kuzuia wimbi la wahamiaji haramu kuelekea katika nchi za Magharibi.
-
Mateso ya wakimbizi barani Ulaya
Mar 01, 2016 06:39Wakimbizi kutoka nchi za Mashariki ya Kati hususan Syria wanaendelea kuteseka barani Ulaya.
-
Rwanda yataka wakimbizi wa Burundi waondoke
Feb 24, 2016 07:09Rwanda imesema ni lazima wakimbizi wa Burundi walioko kwenye nchi hiyo wahamishiwe kwenye nchi ya tatu.
-
Ban Ki-moon atembelea kambi ya wakimbizi Goma, DRC
Feb 24, 2016 04:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon baada ya kutoka Burundi ameelekea Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo ametembelea kambi ya wakimbizi.
-
Wito wa kimataifa wa kudhamini usalama wa wakimbizi
Feb 21, 2016 04:48Taasisi kadhaa za kimataifa zimetoa wito wa kudhaminiwa usalama na kulindwa maisha ya wakimbizi wanaojaribu kuingia Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.
-
Matatizo ya wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania
Feb 18, 2016 21:57Karibu wakimbizi 130,000 kutoka Burundi wameingia Tanzania kufuatia mgogoro unaoendelea ndani ya nchi yao.
-
Wakimbizi wa Burundi waongezeka Tanzania
Feb 07, 2016 22:17Wakimbizi zaidi kutoka Burundi wanazidi kumiminika Tanzania kutokana na kuzidi kutokota mgogoro wa kisiasa katika nchi hiyo.