Mateso ya wakimbizi barani Ulaya
Mar 01, 2016 06:39 UTC
Wakimbizi kutoka nchi za Mashariki ya Kati hususan Syria wanaendelea kuteseka barani Ulaya.
Mateso wanayopata wakimbizi wa Mashariki ya Kati hususan wa Syria barani Ulaya ni makubwa kiasi kwamba, wamechoka kutelekezwa kwenye maeneo ya mpakani katika mazingira magumu ya baridi kali na hali mbaya sana ya hewa.
Tags