-
IOM yaomba ufadhili wa dola milioni 81 kwa ajili ya Afrika Mashariki
Feb 12, 2025 09:22Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) na washirika 45 wa masuala ya kibinadamu na kimaendeleo wameiomba jamii ya kimataifa msaada wa dola milioni 81 kwa ajili ya kuokoa maisha kwa zaidi ya wahamiaji milioni moja wakiwemo wanawake na watoto na jumuiya zinazowahifadhi katika nchi za Djibouti, Ethiopia, Somalia, Tanzania, Kenya na Yemen.
-
Wakuu wa Amerika Kusini: Uamuzi wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jan 19, 2025 11:32Katika kipindi cha kukaribia kuanza awamu nyingine ya utawala wa Donald Trump kama Rais wa Marekani, wawakilishi na maafisa wa nchi mbalimbali za Amerika Kusini, katika tamko lao, wamebainisha wasiwasi wao kuhusu utekelezaji wa sera ya kufukuzwa wahamiaji kutoka nchi tofauti.
-
Umoja wa Mataifa wapongeza ukarimu wa Iran kwa wakimbizi
Aug 22, 2024 02:18Afisa msimamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR hapa nchini Iran ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu kwa kuwapokea kwa ukarimu na kuwa mwenyeji wa wakimbizi.
-
Le Monde: Hakuna matumaini ya kukomeshwa vita hivi karibuni nchini Sudan
Feb 11, 2024 12:07Ripoti iliyochapishwa na gazeti la Ufaransa la Le Monde imesema kwamba, baada ya zaidi ya miezi 9 ya vita kati ya Jeshi la Sudan linaloongozwa na Abdel Fattah al-Burhan na Vikosi vya Msaada wa Haraka chini ya uongozi wa Mohamed Hamdan Dagalo, hakuna uwezekano wa kumalizika vita hivyo karibuni.
-
Kuendelea hitilafu katika Umoja wa Ulaya kuhusu wahamiaji
Oct 08, 2023 02:27Hitilafu kuhusu kadhia ya wahamiaji miongoni mwa nchi za Umoja wa Ulaya zingali zinaendelea licha ya makubaliano ya hivi karibuni kuhusu suala hilo.
-
Indhari ya Borrell kuhusu uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya
Sep 24, 2023 02:20Josep Borrell Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametahadharisha kuwa umoja huo unakabiliwa na mgawanyiko mkubwa kuhusu sera za uhamiaji na kwamba suala hilo linaweza kuufanya Umoja wa Ulaya uvunjike.
-
Makumi ya wakimbizi wakufa njaa Gambella, Ethiopia
Sep 22, 2023 02:43Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Ethiopia (EHRC) imesema wakimbizi zaidi ya 30 wamepoteza maisha kutokana na njaa na utapiamlo katika jimbo la Gambella lililoko magharibi ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
EU yashutumiwa kwa kuwabagua wakimbizi wa Kiafrika
Aug 19, 2023 03:52Umoja wa Ulaya umeendelea kukosolewa kwa kutekeleza sera za kibaguzi dhidi ya wakimbizi kutoka Ukraine kwa upande mmoja, na wale wanaotoka nchi za Afrika na bara Asia kwa upande wa pili.
-
Iran: Mapuuza ya Magharibi yameshadidisha mgogoro wa wakimbizi
Jun 21, 2023 03:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Magharibi inajaribu kukwepa kubeba dhima ya mgogoro wa wakimbizi unaoshuhudiwa hivi sasa, na kwamba sera mbovu za Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazofaa kulaumiwa kwa mgogoro huo.
-
Iran, kimbilio la kwanza la wakimbizi wa Kiafghani katika miaka miwili ya karibuni
Jun 12, 2023 06:27Shirika la Kimataifa wa Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa kituo cha kwanza cha kuwapokea wakimbizi kutoka Afghanistan katika kipindi cha miaka miwili ya karibuni.