-
Kuendelea mashambulizi ya jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Syria
Jun 15, 2021 09:02Wanajeshi wa Uturuki wanaendeleza mashambulizi mtawala dhidi ya maeneo ya raia huko Iraq na Syria.
-
Madai ya kijuba ya Marekani kuwa eti inakalia visima vya mafuta vya Syria kisheria
Nov 24, 2019 04:23Tokea mwaka 2014, Marekani iliingia nchini Syria kinyume cha sheria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la ISIS (Daesh). Kinyume na madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ataondoa askari wa Marekani walioko Syria, hivi sasa wanajeshi hao wameongeza muda wa kuwepo kwao katika nchi hiyo ya Kiarabu kwa kisingizio kingine.
-
Licha ya kuafiki kusitisha mashambulio, ndege za kivita za Uturuki zaendelea kuua raia Syria
Oct 18, 2019 11:51Mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Uturuki yameua raia wasiopungua watano huku mapigano ya hapa na pale yakiendelea kati ya majeshi ya nchi hiyo na wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mashariki mwa Syria licha ya maafikiano ya kusitisha hujuma yaliyofikiwa kati ya Uturuki na Marekani hapo jana.
-
Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria
Oct 17, 2019 23:53Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuondoa wanajeshi wa Marekani kaskazini mwa Syria, jambo ambalo limewezesha Uturuki kushambulia eneo hilo, imekosolewa ndani ya Marekani.
-
Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo
Oct 15, 2019 23:26Licha ya kwamba awali rais wa Marekani alibariki uvamizi wa kijeshi wa Uturuki huko kaskazini mwa Syria lakini hivi sasa amegeuka kikamilifu na kutoa amri ya kuwekewa vikwazo Ankara.
-
Wakurdi wa Syria wamedai kuwauwa wanajeshi 75 wa Uturuki
Oct 13, 2019 08:34Wanamgambo wa Kikurdi kwa jina la Vikosi vya kidemokrasia vya Syria (QASD) leo vimedai kuwa, vimewaua wanajeshi 75 wa Uturuki na kuangamiza pia vifaru vyao 7 katika mapigano yaliyojiri katika mji wa Ra's al Ayn kaskazini mwa Syria.
-
Tishio kali la Trump dhidi ya Uturuki
Jan 14, 2019 09:42Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza hapo tarehe 19 mwezi Disemba mwaka jana uamuzi wa kuondoa askari vamizi wa nchi hiyo huko Syria, baadhi ya wachambuzi wa mambo waliuchukulia uamuzi huo kuwa sehemu ya juhudi zake za kutaka kuiridhisha Uturuki.
-
Operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqah Syria yaanza
Nov 07, 2016 00:46Askari wa chama cha Umoja wa Kidemokrasia cha Wakurdi wa Syria kimeanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqah wa kaskazini mwa Syria kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS).