-
Zaidi ya asilimia 54 ya askari wa Israel wanatumia madawa ya kulevya ili 'kujisahaulisha' na uhalisia unaowakabili
Dec 22, 2018 08:02Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeripoti kuwa umegunduliwa mtandao wa magendo ya mihadarati na usambazaji wa madawa hayo ya kulevya unaofanywa na askari wa Israel kwenye mipaka ya kaskazini ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Wanajeshi wa Kizayuni wamewasababishia ulemavu Wapalestina 94 katika maandamano ya Haki ya Kurejea
Dec 04, 2018 03:11Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamesababisha Wapalestina 94 kupata ulemavu tangu mwanzoni mwa maandamano ya Haki ya Kurejea huko Ghaza.
-
Jeshi la Israel lawapiga risasi makumi ya wanafunzi wa Kipalestina
Nov 12, 2018 04:27Makumi ya wanafunzi wa Palestina wanauguza majeraha baada ya kumiminiwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wanajeshi wa utawala wa Saudia wavamia mji wa Waislamu wa Kishia wa Qatif, mashariki mwa nchi hiyo
Oct 19, 2018 07:13Askari wa jeshi la utawala wa Aal Saud wameuvamia na kuuzingira kwa kutumia magari ya deraya mji wa Qatif ambao wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa Saudi Arabia.
-
Wazayuni wawapiga na kuwatukana wanawake wa Palestina
Aug 21, 2018 07:36Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga na kuwashambulia kwa maneno wanawake kadhaa wa Kipalestina.
-
Wazayuni wa Israel washambulia kaburi la Nabii Yuusuf, Nablos
Aug 02, 2018 14:47Makumi ya Wazayuni wa Israel wameshambulia kaburi na Nabii Yusuf (as) huko mashariki mwa mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
Mwaka 2017; Israel iliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Jan 10, 2018 07:43Harakati ya Kimataifa ya Kuwatetea Watoto tawi la Palestina imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni mwaka uliopita wa 2017 uliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina katika eneo la Ukanda wa Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds.
-
Kuongezeka pakubwa vitendo vya kujiua miongoni mwa wanajeshi wa Kizayuni
Jan 03, 2018 07:53Idadi ya wanajeshi wa Israel wanaojiua inazidi kuongezeka pakubwa kutokana na kulazimishwa kujiunga jeshini na kushindwa mtawalia utawala wa Kizayuni mbele ya muqawama wa Wapalestina.
-
UN yalaani kitendo cha Israel kumpiga risasi na kumuua Mpalestina mlemavu
Dec 20, 2017 08:20Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa amesema amestaajabishwa sana na kitendo cha jeshi la Israel kumuua kwa kumpiga risasi mtu mwenye ulemavu aliyekuwa anaelekea msikitini siku ya Ijumaa.
-
Wanajeshi 3 Waisraeli waangamizwa katika Oparesheni ya Mpalestina Quds
Sep 26, 2017 16:03Wanajeshi watatu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika oparesheni ya kujitolea kufa shahidi ya Mpalestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.