Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wanajeshi wa utawa wa Kizayuni

  • Wanajeshi 3 Waisraeli waangamizwa katika Oparesheni ya Mpalestina Quds

    Wanajeshi 3 Waisraeli waangamizwa katika Oparesheni ya Mpalestina Quds

    Sep 26, 2017 16:03

    Wanajeshi watatu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika oparesheni ya kujitolea kufa shahidi ya Mpalestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Walowezi wa Kizayuni wafanya uvamizi tena katika msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni wafanya uvamizi tena katika msikiti wa al-Aqswa

    Jul 22, 2016 04:18

    Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamefanya uvamizi dhidi ya msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa huko Quds Tukufu Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Wazayuni wazuia kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS

    Wazayuni wazuia kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS

    Apr 03, 2016 07:31

    Wizara ya Wakfu ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi uliopita wa Machi, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni walizuia mara chungu nzima kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS mjini Alkhalil.

  • Wapalestina wengine watatu wauliwa shahidi Al-Khalil

    Wapalestina wengine watatu wauliwa shahidi Al-Khalil

    Mar 14, 2016 16:19

    Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana watatu wa Kipalestina karibu na mji wa Al-Khalil katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ripoti: Israel inawaua kwa makusudi watoto wa Palestina

    Ripoti: Israel inawaua kwa makusudi watoto wa Palestina

    Mar 05, 2016 15:25

    Harakati ya Kimataifa ya Kuwalinda Watoto imeripoti kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanawauwa kwa makusudi watoto wa Kipalestina.

  • Alaeddin Boroujerdi: Msimamo wa PGCC ni tusi kwa serikali na wananchi wa Lebanon

    Alaeddin Boroujerdi: Msimamo wa PGCC ni tusi kwa serikali na wananchi wa Lebanon

    Mar 05, 2016 07:50

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, msimamo wa hivi karibuni wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi dhidi ya Hizbullah ni baraka kwa Israel na ni tusi kwa serikali na wananchi wa Lebanon.

  • Wazayuni waendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Wazayuni waendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Feb 17, 2016 08:38

    Walowezi wa Kizayuni na askari wa utawala ghasibu wa Israel wameendelea kuushambulia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS