-
Kubadilika mtazamo wananchi wa Marekani kuhusu Israel, Palestina na Hamas
Apr 24, 2025 03:31Wakati vita vya Ghaza vinaendelea na utawala wa Kizayuni umeshadidisha mauaji ya wanawake na watoto wa Palestina, mtazamo na mwelekeo wa wananchi wa Marekani kuhusuu Israel, Palestina na Hamas nao unaendelea kubadilika. Haya yamebainika katika chunguzi mpya za maoni zilizofanywa nchini Marekani.
-
Macron akiri ilichofanya Ufaransa 1944 kwa askari wa Afrika Magharibi ni "mauaji ya halaiki"
Nov 29, 2024 11:41Kwa mara ya kwanza, Rais wa Ufaransa ameyatambua mauaji ya wanajeshi wa Afrika Magharibi yaliyofanywa na Jeshi la Ufaransa mwaka 1944 kuwa ni "mauaji ya halaiki. Macron amechukua hatua hiyo kupitia barua aliyoziandikia Mamlaka za Senegal.
-
Ukosoaji wa UN wa mashambulizi ya makusudi ya Israel dhidi ya misafara ya misaada huko Gaza
Mar 06, 2024 11:31Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki ya Chakula ametangaza kwamba, jeshi la Israel linashambulia kwa makusudi misafara ya misaada ya kibinadamu huko Gaza licha ya kujua njia za misafara hiyo.
-
Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina
Mar 05, 2024 07:42Matokeo ya uchunguzi wa maaoni uliofanywa na jarida la Wall Street Journal yanaonyesha kuwa, wananchi wengi wa Marekani hawaridhishwi na utendaji kazi wa Rais Joe Biden katika vita vya Gaza.
-
Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 03, 2023 03:23Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.
-
Ombi la rais wa Ukraine la kuadhibiwa kwa umati wananchi wa Russia; muendelezo wa siasa za Kizayuni
Aug 11, 2022 02:25Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ambaye hadi hivi karibuni alikuwa anadai kuwa Rais Vladimir Putin wa Russia ndiye aliyesababisha vita vya Ukraine, hivi sasa ameelekeza mashambulizi yake kwa wananchi wote wa Russia na ametaka adhabu ya umati itolewe dhidi yao.
-
Imam Khomeini, Kiongozi Kipenzi
Feb 01, 2021 05:48Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.
-
Imam Khomeini, kiongozi wa nyoyo (maalumu kwa ajili ya ukumbusho wa kuaga dunia Imam - MA).
Jun 02, 2020 07:36Harakati ya Imam Khomeini (MA) ilitokana na maumbile safi ya mwanadamu, maumbile ambayo hayakinaishwi tu na mahitaji ya kimaasa na ladha za kidunia ambazo hupita na kumalizika haraka bali huitajia mahitaji mengine muhimu ambayo ni ya kiroho na kimaanawi.
-
Kiongozi Muadhamu awashukuru wananchi na kusisitizia udharura wa kukabiliana na njama za maadui
Feb 23, 2020 07:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewashukuru wananchi kwa kuufuzu kwa kiwango cha kuridhisha mtihani mkubwa wa uchaguzi na kuweza kuzima propaganda za kila upande za maadui na kutumia kwao vibaya suala hilo na akasisitiza kwamba: Taifa zima linapaswa kuwa macho na kujiweka tayari kukabiliana na njama za adui zinazolenga kutoa pigo kwa mihimili tofauti ya nchi.
-
Uchunguzi wa maoni wa CNN: Wamarekani wengi wanataka Trump atimuliwe
Jan 21, 2020 10:30Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa, Wamarekani wengi wanataka Rais Donald Trump wa nchi hiyo ahukumiwe na kuondolewa madarakani.