-
Kiongozi Muadhamu awashukuru wananchi na kusisitizia udharura wa kukabiliana na njama za maadui
Feb 23, 2020 07:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewashukuru wananchi kwa kuufuzu kwa kiwango cha kuridhisha mtihani mkubwa wa uchaguzi na kuweza kuzima propaganda za kila upande za maadui na kutumia kwao vibaya suala hilo na akasisitiza kwamba: Taifa zima linapaswa kuwa macho na kujiweka tayari kukabiliana na njama za adui zinazolenga kutoa pigo kwa mihimili tofauti ya nchi.
-
Uchunguzi wa maoni wa CNN: Wamarekani wengi wanataka Trump atimuliwe
Jan 21, 2020 10:30Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa, Wamarekani wengi wanataka Rais Donald Trump wa nchi hiyo ahukumiwe na kuondolewa madarakani.
-
Akthari ya watu wa Ulaya wanaunga mkono jitihada za kuyalinda makubaliano ya JCPOA
Sep 16, 2019 04:36Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliowajumuisha raia wa nchi 14 wanachama wa Umoja wa Ulaya yanaonyesha kuwa akthari ya wananchi hao wanaunga mkono juhudi za kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Salami: Usalama Ghuba ya Uajemi utapatikana kwa ushiriki wa Iran
Aug 24, 2019 07:32Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Usalama katika Ghuba ya Uajemi utapatikana kwa uwepo wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Karibu asilimia 70 ya watu duniani hawana imani na siasa za Trump
Oct 15, 2018 03:47Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na Taasisi ya Marekani ya PEW unaonyesha kuwa karibu asilima 70 ya walimwengu hawana imani na siasa zinazotekelezwa na rais wa Marekani.
-
James Dobbins: Chuki ya Wairan kwa Marekani ina mzizi wa kihistoria
Aug 07, 2018 02:19James Dobbins, Afisa wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, chuki waliyonayo raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Marekani ni ya kihistoria na inarudi kwenye uungaji mkono na misaada ya Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kwa utawala wa ukandamizaji wa Shah.
-
Wairani waandamana kupinga mauaji ya Waislamu nchini Myanmar
Sep 08, 2017 17:05maelfu ya Wairani waliohudhuria ibada ya Swala ya Ijumaa kote hapa nchini leo wamefanya maandamo katika miji mbalimbali wakipinga na kulaani mauaji yanayoendelea kufanywa na jeshi na Mabudha wa Myanmar dhidi ya Waislamu nchini humo.
-
Wananchi wa Iran waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
May 26, 2017 13:52Wananchi wa Iran leo wameandamana katika mikoa mbalimbali baada ya Swala ya Ijumaa na kutangaza himaya yao kwa Sheikh Issa Qassim mwanazuoni wa Bahrain anayekabiliwa na vitendo vya ukandamizaji vinavyofanywa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.
-
Indhari ya jumuiya za wananchi nchini Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
May 10, 2017 02:23Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umetoa indhari na onyo kuhusiana na matokeo mabaya ya hujuma dhidi ya mwanazuoni wa Kishia Sheikh Issa Qassim.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuhusika jeshi la Sudan Kusini katika machafuko
Sep 09, 2016 13:19Umoja wa Mataifa umesema kuwa, jeshi la Sudan Kusini lina mkono katika machafuko yanayojiri nchini humo.