-
Ripoti: Israel imewateka nyara wanawake 15,000 wa Kipalestina
Mar 07, 2018 10:45Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake hapo kesho, ripoti mpya ya shirika moja la Palestina inaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni wanawake wasiopungua 15,000 wa Kipalestina tokea mwaka 1967 hadi sasa.
-
Al Shabab inawatumia wanawake kama majasusi katika eneo la Pwani Kenya
Dec 19, 2017 04:42Imebainika kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabab lenye makao yake nchini Somalia wanatumia mbinu mpya kushambulia kambi za usalama katika maeneo yaliyoainishwa katika oparesheni ya usalama inayoendelea kufanywa na mawakala kadha wa usalama kwa jina la "Linda Boni" huko katika kaunti za Lamu, Tana River na Garissa.
-
HRW: Polisi wa Kenya waliwabaka wanawake wakati wa uchaguzi
Dec 14, 2017 12:23Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya wanawake walibakwa na maafisa wa polisi wakati wa msimu wa uchaguzi mkuu mwaka huu nchini Kenya.
-
Kila siku wanawake 600 hufanyiwa vitendo vya ukatili nchini Marekani
Nov 27, 2017 00:29Vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake katika nchi za Magharibi na hasa Marekani vimefikia kiwango cha kutia wasiwasi kinyume na inavyodaiwa huku ikiripotiwa kwamba kila siku wanawake 600 hufanyiwa vitendo vya ukatili nchini humo.
-
Iran: Wanawake ndio wahanga wakuu wa magenge ya kigaidi
Oct 28, 2017 04:36Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wanawake ndio wahanga wakuu wa ukatili wa makundi ya kigaidi duniani.
-
Zaidi ya nusu ya wanawake Uingereza wanadhalilishwa kijinsia katika mazingira ya kazi
Oct 25, 2017 23:06Matokeo ya utafiti uliofanywa na televisheni ya BBC ya nchini Uingereza yanaonyesha kuwa, asilimia 53 ya wanawake nchini humo wanakumbwa na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia wakiwa kazini na mashuleni hata hivyo waathirika wengi hawaripoti vitendo hivyo.
-
Baada ya marufuku ya miaka 60 hatimaye wanawake Saudia waruhusiwa kuendesha magari
Sep 27, 2017 01:19Baada ya malalamiko ya muda mrefu hatimaye Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia ametoa amri ya kuwapa leseni za kuendesha magari wanawake wa nchi hiyo.
-
Watu 28 wauawa India, katika machafuko ya kupinga kuhukumiwa kiongozi wa Kihindu aliyebaka
Aug 25, 2017 23:29Polisi katika jimbo la Haryana nchini India imetangaza kuwa, kwa akali watu 28 wameuawa na wengine 200 kujeruhiwa vibaya katika mapigano yaliyotokea Ijumaa ya jana katika majimbo mawili ya Haryana na Punjab kaskazini mwa nchi hiyo.
-
UN yatiwa wasiwasi na hali za wanawake wa Kiiraqi katika miji inayokaliwa kwa mabavu na Daesh
Aug 22, 2017 23:17Ujumbe wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ulioko nchini Iraq na ofisi ya haki za binadamu ya umoja huo zimetoa ripoti na kutangaza kuwa wanawake na wasichana wa Kiiraqi wanaoishi kwenye miji inayokaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanakabiliwa na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 23, 2017 02:24Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.