-
FIBA yaruhusu mabinti wa Kiirani kushiriki katika mashindano ya kimataifa wakiwa na vazi la Hijabu
May 04, 2017 14:10Shirikisho la Mpira wa Kikapu Duniani (FIBA) limetangaza kuafiki pendekezo la Iran la kutaka wanawake wa Kiislamu na mabinti wenye Hijabu wa Kiirani kushiriki katika michezo ya kimataifa ya mpira wa kikapu (basketiboli).
-
HRW yapinga uanachama wa Saudia katika Baraza la Haki za Wanawake la UN
Apr 25, 2017 03:43Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) amepinga vikali uanachama wa utawala wa Saudi Arabia katika Baraza la Haki za Wanawake la Umoja wa Mataifa.
-
Wanawake wa Saudia waendeleza juhudi za kudai haki zao za msingi
Apr 06, 2017 07:30Wanawake wa Saudi Arabia wameendelea na juhudi za kudai haki zao za kijamii kukiwemo kuendesha magari binafsi, ambapo wameanzisha kampeni maalumu katika uwanja huo.
-
Kiongozi Muadhamu: Ni dharura kuelewa nafasi ya mwanamke wa Kiislamu katika jamii
Mar 19, 2017 16:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, amesema kuna uwezekano mkubwa kwamba kumfanya mwanamke kuwa chombo cha anasa katika ulimwengu wa Magharibi, ni sehemu ya njama za Wazayuni kwa ajili ya kusambaratisha jamii ya mwanadamu.
-
Wanawake Yemen waandamana nje ya ofisi za UN kulaani jinai za Saudia
Mar 15, 2017 06:59Wanawake wa Yemen wamefanya maandamano na kukita kambi nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika mji mkuu Sana’a, kuutaka umoja huo usitishe jinai na uvamizi wa Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq
Feb 20, 2017 16:00Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanawake nchini Iraq ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Wanawake Waislamu Nigeria walaani kukandamizwa hijabu
Feb 02, 2017 14:01Muungano wa makundi ya wanawake kwa jina la "Hijab Rights Advocacy Initiative" wa nchini Nigeria jana ulilaani kile ulichokitaja kuwa kuendelea kukandamizwa wanawake wanaovaa vazi la stara la hijabu, na kulitaka bunge la nchi hiyo kubuni sheria ili kukomesha unyanyasaji huo wa wanawake wanaovaa hijabu.
-
Abuja: Wanawake wa Boko Haram wanatumia vitoto vichanga katika mashambulizi ya kigaidi
Jan 25, 2017 03:00Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, baadhi ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wanatumia watoto wachanga wanaonyonya kwa ajili ya kuwahadaa askari usalama na kufanya mashambulizi ya kigaidi.
-
Morocco yapiga marufuku uzalishwaji na uuzaji wa burqa
Jan 11, 2017 15:20Serikali ya Morocco imepiga marufuku uzalishaji na uuzaji wa vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Austria kupiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa hijabu
Jan 07, 2017 07:21Waziri wa Mambo ya Nje na Utangamano wa Austria ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la hijabu linalovaliwa na wanawake Waislamu katika maeneo ya umma nchini humo.